Tuzichape tu maana kuheshimiana hakupo tenaKinachotafutwa hapa ni vita ya udini baada ya kuonekana ya uzanzibari vs utanganyika umeshindikana,, Mungu bado anaipenda Tanzania tuendelee kuiombea,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzichape tu maana kuheshimiana hakupo tenaKinachotafutwa hapa ni vita ya udini baada ya kuonekana ya uzanzibari vs utanganyika umeshindikana,, Mungu bado anaipenda Tanzania tuendelee kuiombea,,
Mungu yupi sasa?Sijui nicheke sijui nilie ila zote ni kelele.
Na waje wajue Nguvu za Mungu.
LabdaKwa hiyo ndo mana kanisa katoliki halipo?
Ni hatari sana..
Kuna kila dalili kuwa, baada ya tamko la Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), vita ya skandali la bandari inakwenda kuchukua sura nyingine kati ya kikundi kilichomo ndani ya serikali kilichotengeneza uchafu huu na Kanisa la Mungu.
Na bila shaka TEC imetangulia tu na muda si mrefu The Christian Council of Tanzania (CCT) na The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT) nao wanakuja na matamko yao na misimamo yao na tunafikiri yatakuwa ni matamko ya namna gani?
Obvious ni kuukataa mkataba huu kwani kwa sababu ziwazo zote, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu na hajahongwa anaweza kukubaliana na ujinga na uchafu huu unaoitwa IGA kati ya Dubai Emirate na Tanzania.
Kama Rais Samia Suluhu Hassan akishindwa kutumia fursa hii kwa serikali yake kurudi kwenye drawing board ili kufikiria namna nyingine ya ubia wa uboreshaji wa bandari zetu badala ya mkataba huu mbovu na Dubai kupitia kampuni yao ya DP World, basi awe tayari kuanza kuitumikia hukumu yake yeye na watu wake wote walio nyuma ya scandal hii.
Ni hukumu yake kwa sababu dalili zinaonesha kuwa hiki kikundi baada ya kumshawishi Rais na Kwa baraka zake kinakwenda kuanzisha vita na kanisa la Mungu.
Hili likitokea, basi itakuwa ni heri ya wapiganiao haki maana hakuna mamlaka ya serikali yoyote ya kidunia imewahi kushindana na Kanisa la Mungu na mamlaka hiyo ikasimama na kushinda. Tunayo mifano mingi ktk historia ya Biblia kama vile Babeli ya kale, dola la Rumi ya kale, Misri ya Farao nk.
Rais Samia Suluhu Hassan, za kuambiwa changanya na za kwako mama. Wewe ni mwanamke, usiingie ktk historia ya wanawake viongozi wa hovyo waliowahi kuongoza nchi zao na kutoka kwa aibu.
Maslahi yakiguswa mahali kuna tonge na unawapokonya basi tegemea kelele za aina zote
Goods exempt from tax zilianza miaka yaani kabla hata ya Uhuru
Ila kuna watu wanaitumia vibaya wanaingiza kila kitu kupitia bandari wakisingizia msamaha wa Kodi.
Humo humo wanatakatisha na hela haramu.
Kila mmoja alipe kodi na tuache wizi na kujiita wapenda nchi na rasilimali zake huku kuna maslahi binafsi
Mbona unawabagua Bakwata? 😀 😀 😀 😀 😀 😀Na bila shaka TEC imetangulia tu na muda si mrefu The Christian Council of Tanzania (CCT) na The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT) nao wanakuja na matamko yao na misimamo yao na tunafikiri yatakuwa ni matamko ya namna gani?
Ajabu acha watoe matamko ila nchi na serikali haifanyi kazi kwa matamko bali maslahi mapana ya nchiDuh
Kwani Hii ni mara ya kwanza Kanisa kutoa matamko?
Duuh naona idadi ya Mambumbumbu inazidi kuongezekaMungu hana kanisa
Kanisa ni sehem ya kufanyika Ibada,
Mungu haabudu
Hata wewe? Sikutegemea km utakua MbumbumbuDuh
Kwani Hii ni mara ya kwanza Kanisa kutoa matamko?
Ila kuna nini wewe Mbumbumbu? Malizia sentensihakuna kanisa la MUNGU
Hamia China wewe Mbumbumbu umekatazwa? Peleka umbumbumbu wako huko ChinaNenda China uone kama kuna huo upuuzi wa makanisa
Haya wahi Jumuiya 🤣🤣Hata wewe? Sikutegemea km utakua Mbumbumbu
Hata sasa nipo ChinaHamia China wewe Mbumbumbu umekatazwa? Peleka umbumbumbu wako huko China
Haya sasa endelea na ya huko China huku sio China acha kua MbumbumbuHata sasa nipo China
Nimekuwaje mbumbumbu?Haya sasa endelea na ya huko China huku sio China acha kua Mbumbumbu
Hujaona ulionyesha umbumbumbu wako ni wapi? Soma comments zako utajua kweli wewe ni MbumbumbuNimekuwaje mbumbumbu?
Kinachotafutwa hapa ni vita ya udini baada ya kuonekana ya uzanzibari vs utanganyika umeshindikana,, Mungu bado anaipenda Tanzania tuendelee kuiombea,,