Serikali na CCM walivyo na sikio la kufa lisilosikia dawa, tayari wanataka kuanzisha vita nyingine kubwa na hatari zaidi na Kanisa la Mungu

Kinachotafutwa hapa ni vita ya udini baada ya kuonekana ya uzanzibari vs utanganyika umeshindikana,, Mungu bado anaipenda Tanzania tuendelee kuiombea,,
Tuzichape tu maana kuheshimiana hakupo tena
 

Hata wao wanajua fika wameingia cha kike kwenye huu mkataba,shida ni ule mzigo waliokula[emoji28][emoji28] wanarudishaje pesa za mwarabu.
 

Ukisimamishwa mahakamani ulete ushahidi kwa haya unayoyasema utatoa huo ushahidi au una jisemesha humu na wewe uonekane umesema.
 
Na bila shaka TEC imetangulia tu na muda si mrefu The Christian Council of Tanzania (CCT) na The Council of Pentecostal Churches of Tanzania (CPCT) nao wanakuja na matamko yao na misimamo yao na tunafikiri yatakuwa ni matamko ya namna gani?
Mbona unawabagua Bakwata? 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Kitachofuata hapo ni vita ya udini. Waislamu uchwara(Muislam anaejitambua hawezi tetea upumbavu huu) wanaofikiria matumbo yao watapewa ubwabwa waanze kutumia misikiti kujibu maaskofu. Kipindi hicho wanaotoa hayo majibu hata hawajui kilichoandikwa kwenye hiyo mikataba.
 
Huu mkataba haufai...Samia FUTA Hili dude tumekataa,, Hata wakija tutawahujumu tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…