Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Matahira kama wewe mpo kibao .Mambumbumbu hamkosekani
Wengine wanajitoa ufahamu badala ya kuangalia kwa upana.Mkuu umeongea kitu kikubwa sana!
Wachache wataafikiana na wewe kwasababu wengi wapo kwenye orodha ya malipo.
Haya maneno huwa mnasema kuwa ooh ukipelekwa mahakamani utasemaUkisimamishwa mahakamani ulete ushahidi kwa haya unayoyasema utatoa huo ushahidi au una jisemesha humu na wewe uonekane umesema.
NakuulizaHilo swali unajiuliza au unatuuliza? Toa jibu
Mimi siulizwi na MambumbumbuNakuuliza
Kwa nature ya watu wa serikali hii walivyo wajinga na wapumbavu, ni wazi wanaelekea uelekeo huo..!Kitachofuata hapo ni vita ya udini. Waislamu uchwara(Muislam anaejitambua hawezi tetea upumbavu huu) wanaofikiria matumbo yao watapewa ubwabwa waanze kutumia misikiti kujibu maaskofu. Kipindi hicho wanaotoa hayo majibu hata hawajui kilichoandikwa kwenye hiyo mikataba.
Huu upumbavu wakufikiri na kujiaminisha kwamba wana sole rights ndio unawafanya wadhani kwamba wanaweza kuamua kwa niaba ya watanzania wote. Mmechaguliwa na nani kupewa hiyo power of attorney ya kuwasemea watanzania wote.TEC ni chombo cha wakatoliki bakieni hivyo.Unafikiri kila mtu ana imani ya kikatoliki?
Kwa imani yako, Mungu hana kanisa, kwa wengine Mungu ana kanisa. Waislamu behave as if Mungu ni wa kwao pekee. Na wana haki ya kuamini hivyo.Mungu hana kanisa. Tengua hio kauli yako ya kipuuzi
Giza la Bandari na Mkataba wa DP world
Exactly Mkuu,, mbona hata hili Mkatoliki alisema Kuwa Remote ipo Msoga.Mkubwa, hii ndiyo shida ya nchi kupewa mwanamke aongoze..
Kwa mfumo wa kisheria na kikatiba wa nchi hii, kumpa nchi mwanamke ni uharibifu mkubwa na ndiyo maana ya madudu haya tunayoyaona sasa..
Si yeye anaongoza nchi. Lipo jamaa au mijamaa fulani mahali inayom - remote na kumdhibiti aseme nini, wakati gani, wapi na kwanini. Na ni hatari sana kama kweli ni wajomba zake wa uarabuni ndiyo wako ndani ya ikulu yetu..!!
Hawawezi
Huna loloteWewe eleza ulichokisoma kwenye hayo maandiko acha kua Mbumbumbu
Mbumbumbu ndio huishia kusema hivyo kuficha umbumbumbu wake haya baki na umbumbumbu wako Mbumbumbu weweHuna lolote
Umenifanya nicheke wewe umeshajamba tayari?Mkishamaliza lugha zote, mkojowe, mjambe, mkalale.
Mama ndiyo kwanza kawaamshia lingine Arusha leo, mtakoma ubishi.
Serikali haiendeshwi kwa mihemko.
Mbumbu ni hilo kundi la ko la kuabuduuMbumbumbu ndio huishia kusema hivyo kuficha umbumbumbu wake haya baki na umbumbumbu wako Mbumbumbu wewe
We Mbumbumbu emu achana na Mimi baki na umbumbumbu wakoMbumbu ni hilo kundi la ko la kuabuduu
Yaaan Ujinga hauwezi kuisha duniani,Ni mara nyingi na mara zote serikali huwa haisikii na huanzisha ugomvi na kanisa...
Na matokeo ya serikali kutosikia sauti ya Mungu toka Kwa wawakilishi wake hapa duniani tunayaona ktk maisha yetu ya Kila siku, laana ya umasikini uliokithiri, magonjwa, ujinga na Kila aina ya uovu kutamalaki...
Unataka tuendelee kuwa upande huo na sasa?