Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serikali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali