Serikali na Polisi, chonde mkatuepushe maandamano yanayopangwa 9 Disemba

Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serkali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.

Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.

Yote kwa yote, Serkali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu

Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Hamia Burundi
 
Tarehe 09/12/2025 ni siku kumbukizi ya uhuru wa Tanganyika na iko kwenye kalenda ya nchi hii kwa kuwa inatambulika kisheria. Kwa sababu ya umuhimu wake huo kwa watanganyika hupaswi kuogopa na kuwakumbusha Polisi cha kufanya.... Wanapaswa kutoa tu ulinzi kwa waandamanaji tena hawatakiwi kubeba silaha za kivita kwani ni siku ya amani.
 
Hamna maandamano ni wale vibaka walioiba mali za watu mali za wizi zimewanogea na zimeisha kwahiyo wanataka kurudi kuiba tena, usijali hawatarudia dawa yao wameipata tarehe 29 sahivi wanatapatapa kwasababu dozi iliyotumika ni kubwa kuliko ugonjwa wao bado mawenge ya dozi hayajaisha.
 
Umewaza kuhusu madhara yatakayokuwepo kama hawatafanikisha yale mahitaji au requirements zinazopelekea maandamano? Au watu wasiowahitaji wakiendelea kuwepo?
 
Hamna maandamano ni wale vibaka walioiba mali za watu mali za wizi zimewanogea na zimeisha kwahiyo wanataka kurudi kuiba tena, usijali hawatarudia dawa yao wameipata tarehe 29 sahivi wanatapatapa kwasababu dozi iliyotumika ni kubwa kuliko ugonjwa wao bado mawenge ya dozi hayajaisha.
Wewe ***** ccm imeifungia JF, unafanya nini humu?
 
Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serkali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.

Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.

Yote kwa yote, Serkali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu

Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Waache usiwasanue hao panya road wamekuja na style mpya safari hii tunanunua na mafuta ya kupaka
 
Wewe ***** ccm imeifungia JF, unafanya nini humu?
***** baba ako hyo tarehe mnayoitaja tokeni tena safari hii tutawapakata tutawaambia polisi wapumzike mmeshamaliza mlivyoiba tarehe 29 sasa safari hii hatuwaachi mbwa nyie
 
Hii vita ndo kwanza inaanza, mpaka Haki itendeke na kutamalaki, hatutaacha kuidai. Ni vita kati ya Anaedai Haki na anayehubiri amani.
CCM WAUAJI
Uje kweli barabarani siyo unasubiri vibaka wenzako wapigwe peke yao mmeiba tarehe 29 mmeishiwa sasa mnataka tena tunawajua nyie ni panya road
 
Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serkali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.

Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.

Yote kwa yote, Serkali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu

Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Vuka border iliyo karibu siku ya tarehe tano December na urudi tarehe tano January, wengine waache wapambanie uhuru na haki kwa namna yoyote ile au panda ndege uende vocation hiyo December.
Gen Z wameamua kupambania future yao.
 
Back
Top Bottom