Tahadhali walichukua maandamano ya uchaguzi lakini hawakuweza kuzuia. Cha msingi ni kuondoa vichocheo vya maandamano hizo ndio hatua stahiki.Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serkali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serkali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Hivi Maandamano ya Amani sio haki ya Raia?Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serkali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serkali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Hata yakiwa ya Amani, kwa mfano wasipoharibu chochote bado mtawapiga risasi?Kama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani
Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Serikali imeifungia JF nashangaa wewe umefikaje humu kuwapa taarifa?Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serkali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serkali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
THE BIG SHOW umemuelewa huyu?Wananchi wanaotaka kuandama waachwe waandamane. Isisitizwe tu kuwa wasivunje sheria , wapite barabarani tu.
Kuwazuia ni uvunjifu wa amani nanukiukwaji wa katiba inayoruhusu maandamano ya amani.
Wajinga na wapumbavu msiharamishe maandamano, siyo kosa kuandamana kwa amani.
Serikali imeifungia JF, kwa nini unavunja sheria kwa kutumia mtandao uliofungiwa na serikali? Wewe ni mhaini unastahili kunyongwaKama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani
Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Raia mzalendo gani wewe mbogamboga?Kama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani
Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Big fool katika ubora wake. Unapenda shari sana na unatamani watu wafeKama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani
Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Mimi siwazi maana nafasi nyeti zilikuwa kwa ajili ya watoto wa vigogo sasa hao vigogo wakistuka wanapewa wototo wa Zanzibar harafu watoto wao wanaanza kupambana tamisemi nistueni maana hizo nafasi yeti hata mjukuu wangu hawezi gusaWatanganyika kwenye system wamejikaushaaa, wakishuhudia wazenji wakijazwa nafasi zote nyeti na TANGANYIKA kuwa koloni la Kijisiwa chenye watu millioni moja.
Mbaya zaidi, watanganyika wanasulubu watanganyika wenzao wanaotetea future ya watoto wote wa TANGANYIKA, including watoto wa watesi!
Hivyo basi, vijana wadogo wa Tanganyika wameamua kujitoa muhanga kujaribu kubadili hali ya mambo.
Waje hata kesho uwanjani tucheze hizo assissanation games..Big fool katika ubora wake. Unapenda shari sana na unatamani watu wafe