Serikali na Polisi, chonde mkatuepushe maandamano yanayopangwa 9 Disemba

SAFARI WAJARIBU WALIDEKEZEWA SANA NA JESHI BAADHI YA MAENEO ILIHARIBU SANA KUKAAA KIMYA , NINGEKUWA SAMIA WALE WOTE NAWAFUKUZA JESHINI NA KUWAPOTEZA KIMYA KIMYA NINGENENEPESHA SAMAKI ZIWA VICTORIA
 
Hawa vijana wameanza kudisrupt shughuli za serekali ina maana kama wanaadaa maandamano hatutaweza kuazimisha kumbukumbu ya uhuru
 
Uje kweli barabarani siyo unasubiri vibaka wenzako wapigwe peke yao mmeiba tarehe 29 mmeishiwa sasa mnataka tena tunawajua nyie ni panya road
Unasema walio uawa trh 29 walikuwa ni wezi na panya road? Fine, nakubali walikuwa wezi, je mwizi akikamatwa inabidi apigwe head shot afe?
Najua unajifanya kipofu kuhusu wale walifuatwa majumbani kwao na kupigwa risasi mbele ya familia zao. CCM mmechagua kuliangalia hili jambo kwenye angle moja tu, kuwa wote waliouawa ni wezi na waharibifu. Kwa sasa CCM mpo kwenye denial kwamba hamjaua raia 3000 wasio na hatia, hamuwezi kuukimbia ukweli, soon haki itatendeka.
CCM WAUAJI.
 
Don’t get these kids killed, haya mambo tuwaachie wenyewe.

Msiitishe maandamano ya hawa watoto kupoteza maisha.
 
Sasa kwa nini yakomeshwe wakati ni haki ya kikatiba? Ni haki watu kuandamana. Mbona mnataka kufanya kama vile kuandamana ni offense?
 
Hawa vijana wameanza kudisrupt shughuli za serekali ina maana kama wanaadaa maandamano hatutaweza kuazimisha kumbukumbu ya uhuru
Kuna katoto ka mwaka mmoja mlikafata nyumbani kwake mkakaua na kenyewe kataadhimisha kumbukumbu ya Uhuru?

Shukuru unahema. Wenzako wanaingia barabarani kupigania haki ya kila Mtanzania kuhema.
 
Hivi Maandamano ya Amani sio haki ya Raia?

Kwa mfano ikiwa watabeba mabango yao na hawataharibu mahali yoyote bado hawastahili?
Kwa Tanzania maandamano yasiyounga mkono serekali ya CCM ni haramu. Yatafanyiwa figisu.
 
Ni haki yetu kuandamana, soma katiba yetu, sio unapanua tu domo lako. Police kazi yao ni kutulinda na siyo kuzuia maandamano fala wewe hujui hata unachoongea mpumbavu wewe.
 
Vuka border iliyo karibu siku ya tarehe tano December na urudi tarehe tano January, wengine waache wapambanie uhuru na haki kwa namna yoyote ile au panda ndege uende vocation hiyo December.
Gen Z wameamua kupambania future yao.
Na wewe utashiriki?
 
Yaan nyie panya road mnakuja barabaran mnapora mnakimbilia makwenu tunawafuata huko huko waulize wenzako wa mbeya walikimbia kwao wakakimbilia porini halafu msitafute kichaka cha kujificha mna chuki sana nyinyi
 
Don’t get these kids killed, haya mambo tuwaachie wenyewe.

Msiitishe maandamano ya hawa watoto kupoteza maisha.
Why kill them? Ungeishauri mamlaka issue raia wanao timiza takwa la kikatiba
 
Waje hata kesho uwanjani tucheze hizo assissanation games..

Wanasubiria december kote huko?

Waaache uoga,waje tupimane ubavu

Shenz kabisa.
Hayo ya kesho ni yako usitupangie, sie tumechagua 9 december.

Hiyo 'waje' utakuwepo?? Au ndio kutegemea wanaume (polisi) wakusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…