Serikali na Polisi, chonde mkatuepushe maandamano yanayopangwa 9 Disemba

Na wewe utashiriki?
Nikiwa TZ nitashiriki vizuri tu japo mimi si Gen Z ni mtu mzima, naishi mbali sana ila natoa support kwa namna niwezayo.
Hata vijani si kila mtu hushika silaha, kuna strategists and planners pia, kuna doctors, kuna engineers na wapambanaji pia wana divisions.
With all my heart nchi inapaswa kukombolewa, hauwezi kuandamana mitaa ya TZ kama unaishi Canada au Sweden au UK au USA nk lakini haimaanishi kwamba huko watu hawaandamani na kufikisha ujumbe kwenye embassies, the difference ni kwamba huko hampigwi risasi ila ujumbe unafika hasa kwa wafadhili ambao nchi inaficha unyama inaowafanyia wananchi.
 
Hivi Maandamano ya Amani sio haki ya Raia?

Kwa mfano ikiwa watabeba mabango yao na hawataharibu mahali yoyote bado hawastahili?
Maandamano ya amani yanafaa kabisa kufanywa kutokana na hali halisi kwani kwenye jambo liliotokea ni watu wengi wameathirika waliyokuwemo na wasiyokuwemo, muhimu taratibu zifuatwe, watu wakachukue kibali cha maandamano ili kikitokea chochote kuwepo na mtu au watu wa kuchukua masuulia. Lakini kwani maandamano ndiyo suluhisho pekee la hili tatizo tulilokuwa nalo?
 
Ipo njia moja tu ya kukomesha haya mambo nayo ni wahusika wanaochochea kwa kuwapuuza waTanzania kwa kujidai viziwi na bubu kwenye huja za msingi zenye maslahi ya Taifa.
 
Maandamano yako pale pale
 
Mbaya zaid si maandamano ni siku ya chinja chinja walengwa ni askar na familia zao ccm na familia zao vionhoz na familia zao machawa na familia zao kwa ufupi ni mauaji day waandamanaji waliwezza kutekeleza maadhimio ya mipango yao kwa asilimia 100 kila kilichopangwa kilifanyika kwa ukamilifu ndan ya muda mchache kuliko ilivyotarajiwa na wakabak na muda wa ziada wa kusubir polis barabarana na kukisubir kifo maana malengo yalikua kuchoma shel vituo vya kura polis ofisi za serikal mabus na nk kila kitu kilifanyika kwa asilimia mia sasa maadhimio yao ya sasa ni chinja ua ua kwa ufupi ni siku nyekundu inatisha kuliko 29/10
 
Police hawazezi, waiteni tena wale majeda wa M-7. Sasa hivi muongeze na KMKM wote toka Zenji.
Vijana wanasema HAIJAISHA....
 
hoja gan ulizonazo zinazothibitisha kuchoma mali ya mtu mwingine ndo njia sahihi?
Nimezungumzia Maandamano ya Amani, sijasema habari ya kuchoma mali...soma tangu hapo juu.

Hoja zao watazipost kwenye mabango na kuandamana kwa amani. Baadhi ya hoja ,inahusu Katiba mpya, Ugumu wa Maisha, Kuachiwa kwa Watu waliofungwa kwa kesi za kubambikizwa n.k
 
kama ivo sawa, lakini kuandamana kwa sababu ya ugumu wa maisha huo ni ujinga na watakaoweka mabango ya ugumu wa maisha wadhibitiwe, watu wajifunze kwanza economics ndo waingie road
 
Kama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani

Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Kipindi hicho uliponda na kubeza, lakini Leo tunaongea mengine. Hayo manyang'au wenzio wa CCM na serikali wasiendeleze viburi na kushupaza shingo. Otherwise December 9th Iko paleee!!
 
Kama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani

Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Wazalendo mlikuwa wapi oct 29? Wote mmejificha ndani kenge wahed
Tokeni nje this time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…