Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
We ng'ombe wa mama acha uwoga unapenda ugali kuliko hatma ya taifa lako Tanganyika na kizazi chako dhidi ya Familia ya MajangiliZimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serikali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Sio Ujinga. Inategemea kinachosababisha wawe na ugumu wa maisha ni ninikama ivo sawa, lakini kuandamana kwa sababu ya ugumu wa maisha huo ni ujinga na watakaoweka mabango ya ugumu wa maisha wadhibitiwe, watu wajifunze kwanza economics ndo waingie road
Samia ajitokeze aseme hakuna cha nywinywinywi tena,alifikiri Watanganyika ni wale wa mda ule ambao Kinyatta aliwaita maiti,tena Serikali hii inabidi iwe makini Maana yanaweza kutokea mauji ya kimbari,huku mtaani uwezi ona picha ya Samia kwenye milango ya wenyeviti au mabarozi wote wa CCM,watu wanaishi kwa hofu, Maana vijana wamesema kikinuka tu wanaanza nao.Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serikali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
ugumu wa maisha ndo uchumi wenyewe huo, bila ugumu wa maisha nchi inafilisikaSio Ujinga. Inategemea kinachosababisha wawe na ugumu wa maisha ni nini
Maoni yangu muandamane Kwa mabango yanayoeleza shida ili zijulikane na upatikane ufumbuzi na sio kuchoma vituo vya mabasi na ofisi za serikali zile ni Kodi zetu, athari na usumbufu unakuja kwetu wananchi wao hawajali wanatembea na misafara na hata Kodi hawakatwi.Zimeanza chokochoko za maandamano kuelekea siku ya uhuru kama ilivyokua siku ya uchaguzi huku serikali na raia wengi tu tulipuuzia kwamba watanzania ni waoga na hakutakua na maandamano., matokeo yake kila mtu ameyashuhudia.
Hali ilikua mbaya mno kipindi amani ilipotoweka na hadi sasa usalama katika jiji letu la Dsm bado ni mashaka, ukipita mitaani vijana wanajiandaa na tarehe 9, huko mitandaoni hamasa inaendelea kitu ambacho kinaleta hofu kwa wananchi wapenda amani licha ya kwamba kuna uchagufuzi ulifanyika isivyo haki.
Yote kwa yote, Serikali imekuwa kimya as if haioni hamasa ya watu wanaopanga kuandamana hiyo siku ya uhuru.. sasa ni bora wakaanza mapema kuhakikisha hakutakua na maandamano tena kwa njia ya amani ili tuendelee kuishi kwa utulivu ndani ya nchi yetu
Jeshi la polisi msikae kimya, kinga ni bora kuliko tiba
Chukue hatua stahiki sasa ili kuzuia maandamano ya tarehe 9 december na kuepuka madhara yanayoweza kuleta vifo na uharibufu wa mali
Serikali ya mama ni sikivu, tayari imeanza kuchukua hatua za makusudi kwa kuwaachia viongozi wa chademaNchi ipo vitani, chagua upande upambane acha kulialia. Hakuna atakayeweza kuzuia chochote, nyie si mmeua watu?
Anapewa hayati mugabePole unampa nani K wewe?View attachment 3499985
Wajinga wote wenye kiburi cha kulingia risasi walishindwa na wakapinduliwa endelea kuamini kwamba nguvu ndio njia ya kuleta amani, hutaamini na utapotea humu! Ngomanya juzi polisi walisha zidiwa shukuruni vikosi vya jeshi na maharamia mlio waingiza kinyemela kuua raia vinginevyo mambo yalisha kuwa magumu na msiombe wananchi wakapata silaha kama mnavyo wapuuza wakati wenzenu wanajipanga, wazanzibar hamtaamini endeleeni kufurahia vifo vya watanganyikaKama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani
Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
We nguruwe unapiga kelele online kwenye actual field huonekaniWe ng'ombe wa mama acha uwoga unapenda ugali kuliko hatma ya taifa lako Tanganyika na kizazi chako dhidi ya Familia ya Majangili
Unaongea umeviiimba utadhani kuna unacho kiweza , huku ****** umeutegesha kusubiri polisi waje wawaokoe, mje kavu kavu muuone moto wa wananchiWaje hata kesho uwanjani tucheze hizo assissanation games..
Wanasubiria december kote huko?
Waaache uoga,waje tupimane ubavu
Shenz kabisa.
Kasome katiba upya.uwe na kibali
kwan reference nmeitoa wap? ama hujui hicho kifungu kinasemaje kuhusu maamano?Kasome katiba upya.
You don't have the slightest idea.kwan reference nmeitoa wap? ama hujui hicho kifungu kinasemaje kuhusu maamano?
hifadhi nishati kelele kama huelewi katiba inasemaje kuhusu maadamanoYou don't have the slightest idea.