Serikali na Polisi, chonde mkatuepushe maandamano yanayopangwa 9 Disemba

nasemaje,hiyo michezo waje tuicheze...

Wanangoja december kwa nini?

Waje turuke na hii november so as they can remember it to their grave yards...
Maandamano siyo chokochoko, ni haki yetu kikatiba., wewe unayesapoti CCM unayo shida kichwani, pumbavu wewe.
 
Yaan nyie panya road mnakuja barabaran mnapora mnakimbilia makwenu tunawafuata huko huko waulize wenzako wa mbeya walikimbia kwao wakakimbilia porini halafu msitafute kichaka cha kujificha mna chuki sana nyinyi
Panya road ndio wachome ofisi za nzi wa kijani plus vituo vya polisi??
Tafuta sababu nyingine
 
nasemaje,hiyo michezo waje tuicheze...

Wanangoja december kwa nini?

Waje turuke na hii november so as they can remember it to their grave yards...
Kuwa na subra Dec 9 sio mbali mtakutana tu uwanjani muuwane
 
Kama hao wanavyotamani maandamano ndivyo vile.vile ambavyo vyombo vya ulinzi na sisi raia wazalendo tunavyowatamani

Kwanza wanasubiri december mbona mbali?waje hata kesho uwanjani
Acha upuuzi wito alio utoa mleta Mada ni mzuri, ila wajinga kama nyie mtaanza kauli za kubeza ambazo zinachochea hasira na kusababisha maandamano, just kama iliyokuwa mwanzo kabla ya October 29. Mulikuwa mkibeza na ikatokea. Tunataka Amani please.
 
Acha upuuzi wito alio utoa mleta Mada ni mzuri, ila wajinga kama nyie mtaanza kauli za kubeza ambazo zinachochea hasira na kusababisha maandamano, just kama iliyokuwa mwanzo kabla ya October 29. Mulikuwa mkibeza na ikatokea. Tunataka Amani please.
vijana wanajisahau sana mimi siikubali ccm ila kuandamana na kukaa lockdown na maisha kusimama ni upumbavu mkubwa wa vijana .
 
Waambie wapitishe tena magari yao washawasha na kuchukua migambo wa kukimbia mchakamchaka maana ndiyo akili yao ya kuzuia maandamano
wameshajua watz hawaogopi tena sijui safari hii wanakuja na lipi jipya
 
Kazi ya polisi kikatiba sio kuzuia maandamano.
Shenzi kabisa wewe.
 
Maandamano ya Dec 9 ni maandamano ya kitofauti sana na YATAWASHANGAZA kwelikweli.

Tumeyaita ya Amani, Mjichanganye Muonekane Barabarani na Bunduki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…