Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu;
1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga.
#Mahakama za bongo hazina capacity ya kuiweka serikali katika hali hiyo.
2. Mtu aliyeshitakiwa na kutoka kwa NO CASE TO ANSWER anaweza kudai gharama za kuwekwa kizuizini bila sababu
#Netherless, hawatakubali hao mashahidi kuitwa……!!
#Lakini good news ni kuwa, huu ndio mwisho wa kesi hii. Ataendelea kukaa ndani kwa muda kidogo, lakini atatoka.
#Swali ni je, atatoka kwa "Mbowe style?"
#Ukiniuliza Mimi, jibu langu ni rahisi tu, kuwa, sijui.
#Lakini kwa Tundu Lissu huyu jeuri na mwenye msimamo wa kusimama katika haki yake, wasahau hili abadani!!
Na tukumbuke tu kuwa, moja ya sababu ya machafuko ya 29/10/2025 na siku zilizofuata ni raia/watu kukosa Imani kwa mahakama. Kwamba, haziwezi kuamua kesi ngumu kama hii against serikali hata kama inaonekana wazi kuwa yenyewe ndio mkosa/ina makosa!