Siku Moja katika pita pita zangu nlikutana na Jamaa mmoja anitwa NHIF ,huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Afya kwa kifupi ni kajitolea kuwatunzia pesa zao Watu kwa Ajiri ya Matibabu yao baadae .
Wakati napita alikuwa mlangoni nlimsikia akilia kwa Nguvu sana akisema Ooh God ,thank you for another day nkamsalimia nikamuuliza mbona Unahuzuni na masikitiko makubwa ? Alinijibu yafuatayo :-
1.Pesa za Watu wangu zinachukuliwa na kwenda kulipa huduma ambazo hazipo kwenye makubaliano kama Watu wanachukua Maji ya kunywa,Mafuta ,Vipodozi na vingine vingi kupitia bima kunyume na Taaribu .
2.Pesa za watu wangu zinachukuliwa na kwenda kulipa Wateja feki
3.Pesa za watu wangu zinachukuliwa zinakwendakulipa vipimo na upasuaji ambao haujafanyi mfano mtu Anapusuaji Jipu anaandika katoa Uvimbe mkubwa .
4.Pesa za watu wangu zinachuliwa kwenda kulipa Dawa za Bei kubwa huku dawa iliyotolewa ni ya Bei Ndogo sana .
5.Pesa za watu wangu zinachukuliwa zinapelekwa kulipa malipo ya matibabu kwa watu ambao sio Hata wanachama .
6.Kibaya zaidi Serikali na Bodi ya Wakurugenzi NHIF wamefanya pesa hizi kama mali yao wanatumia kwa starehe zao na matumizi yao binafsi .
Alilia sana akasema sio muda nitaishiwa pesa ,watu hawatanielewa watakosa huduma Bora watapata BORA HUDUMA na hawatanipenda tena .Nikamuacha nikamuahidi ntafikisha kilio Chake .
Hivyo Serikali na Watoa huduma za Afya sikieni kilio cha NHIF .