- Thread starter
- #21
Wakikusikia wamiliki wa hizo polyclinic watakuchukia sana hahahaaNHIF inathulumiwa sana, hapa ninapoishi kuna jamaa alikuwa na dispensary ila Sasa hivi kaibadilisha kuwa polyclinic anaibia mfuko balaa, hakuna huduma yyte ya kibingwa inayotolewa hapo Zaid ya ma specialist kuja na ku sign form tu inasikitisha kwakweli.