๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Swali kwa faida ya watanzania ๐
Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia .
Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa zinakusanywa na wajumbe wa nyumba 10.
Mfano: Ukonga Dar Es Salaam
โขMtaa wa M /Madafu 10,000
โข Mtaa wa Mazizini sh. 6000
โขMtaa wa Kipunguni sh. 8000
1) Je, hiyo pesa tunayo ambiwa wananchi tutoe imeratibiwa na Wizara ya ardhi , Wizara ya Habari au na nani ? Au kuna maelekezo gani yoyote ya Serikali yamenipita?
2) Na kwanini iko katika viwango tofauti tofauti ?
3) Kama sijasahau wakati akizunguka kwa helicopter Mh Nape alisemq Zoezi hili ni bure Serikali imekopa kwa jambo hili; alitulaghai wananchi ?
4) Hii michango ya anuwani za makazi ni kwa nchi nzima ?
5) Kwanini isikusanywe kwa kihalali kama malipo mengine ya Serikali kama ni muongozo wake ?
Tunaomba ufafanuzi tu Viongozi na Serikali ya samia Suluhu Hassan.
KAZI IENDELEE
(Tusaidieni sisi Ukonga Mbunge wetu alifariki kwa corona)!