Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

Ile n huduma inalipwa huduma
Ukizaa(KAMA MBEGU ZA UZALISHAJI ZIPO)
ukapata kanafasi kukupeleka mtoto private utajua hayaa siohilo wengine tunatoaa hadi 250k kwendahapo Mikumi n huduma
Likewise wanalipa wazazi kwa huduma watoto wanayopata samahani kama wewe n mwl...... Msikilize NDALICHAKO PROF utaelewa... Kwabahatimbaya sikusema magazeti mwongozo umeshatokaa utekelezaji umebakia
Shida ni kwamba tunapenda sana kuisha maisha ya siasa. Ikumbukwe shule binafsi ni biashara elim inayo tolewa pale nj mkataba kati ya mzazi na mmiliki wala[emoji41] hakuna aliye lazimishwa kumpeleka mtt wake pale. Sasa iweje serikali ianze kuinglia kati mikataba yenu si kutafutana uchawi huku[emoji848]
 
SIMU N MKATABA WA KWAKO NA KAMPUNI
HAYA MAWASILIANO MENGINE WANAPATAGA WAPI....
LAZIMA UJUE UKIONA SHULE PALE JUU KUNA SERKL IKO INA MONITA KILA KITU
UKIONA WANAFUNZI WANAASHIDA UKAE KIMYA KISA UNA MKATABA NA SHULE UR WRONG
MKIPATA SHAHAWA ZA KUZAA HILI NI LA KAWAIDA
BY THE WAY PROF AMESHATOA MWONGOZO SIKUSOMA MAPEMA SO TUSIWASEME VIBAYA SHULE BINAFSI TUKISUBIEI UTEKELEZAJI......

Screenshot_20200617-110119.png
 
Umekalili sna shahawa! shahawa! Hivi unahisi ww peke yako ndiyo una unasomesha shule binafsi? Na usikute ada ya mwanao haizidi hata 2M
 
Umekalili sna shahawa! shahawa! Hivi unahisi ww peke yako ndiyo una unasomesha shule binafsi? Na usikute ada ya mwanao haizidi hata 2M
MIL 2
Ni shahawaahizooo si hela??
NASEMAA hivi wengiwapiga KELELEE MNAJAZA mapovu kwenye plastick
Shidasioshhaawa
Zinatoa gawio??!
 
Umempeleka mtoto shule ada 2-4milioni kwa mwaka unatakiwa ulipe hio ada
 
Kaka shule zilikuwa zinalipa walimu Ada Kama kawaida Hilo utambue, lakini kwa maelezo ambayo watapewa walimu nikuhakikisha Wana maliza silabasi kwa kujaribu kufidia muda ulio potea , Sasa Kama wata maliza silabasi yanini wewe uchangie nusu wakati wao wametoa [emoji817]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kwa twisheni fii ulichokisema kibaweza kikawa sawa, lakini kwa usafiri, chai na chakula cha mchana si sawa... warudishe kwa waliokwidhalipa au kwa ambao bado hivyo vipungue
 
Kaka shule zilikuwa zinalipa walimu Ada Kama kawaida Hilo utambue, lakini kwa maelezo ambayo watapewa walimu nikuhakikisha Wana maliza silabasi kwa kujaribu kufidia muda ulio potea , Sasa Kama wata maliza silabasi yanini wewe uchangie nusu wakati wao wametoa [emoji817]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
si kweli kwa private schools. Kuna baadhi ya shule walimu walianzisha mpaka magroup na kuadd wazazi wakiomba michango kinguvu. Kama kuna watu ambao waliathirika zaidi kwa kufungwa shule ni walimu wa shule za private.
 
Kwanza usipotoshe muda ulio potea ni wiki 7 kwahiyo usiseme miezi 3 piga mahesabu vizuri halafu mwez9 kuna likizo ya wik 3 kwahiyo zitakuwa zimepotea wiki 4.

Halafu muda wa masomo naona umeongezwa kutoka saa9 mpaka saa12 so ni mzigo kwa walimu kwahiyo waongezewe muda bila kuongezewa posho? hebu tutumie busara busara kidogo wengine tushalipa ada ya mwaka mzima je turudishiwe ya mwezi mmoja ulio potea?
 
Ada hutozwa (calculated) kwa mwaka wa masomo, japo kuna utaratibu wa kulipa kwa awamu.... hii ni kurahisisha ulipaji tu na si vinginevyo.

Zile shule ambazo hupokea ada kwa robo mwaka (miezi mitatu), inaweza kuonekana rahisi kuskip hii robo ya Aprili hadi Juni.... wazazi tunatamani iwe hivyo lakini hakuna ‘any justification grounds’.

Ni busara tu itumike.
 
Nafikiri kila shule ikae na wazazi kulisettle hili.

Pia kumbuka wapo wazazi waliokwisha lipa ada yote.!

Hawa wasaidiweje!?
 
Hoja ni ya msingi. Mf shule anayosoma mwanangu wanataka pia pesa ya study tour kitu ambacho kinadharia hakitowezekana kwa vile Watoto watakuwa kwenye crush programme pia wanadai pesa ya Extra classes ambayo iliwekwa kwa ajili ya mwezi wa sita shule zikifungwa Form 4 waendelee jambo ambalo halipo tena.
 
Ada inalipwa kwa mwaka wa masomo.Hiyo mihula ya ulipaji kama vile miezi minne,mitatu au miwili ni kukurahisishia tu ulipaji,kama ulilipa ada ya mwaka upo safe mpaka January 2021,kama ulilipa miezi 6,malizia ada.Narudia tena kinacholipiwa ni mwaka wa masomo.
 
Mkuu umeandika vizuri sana na serikali inabidi kutolea ufafanuzi ,maana watoto hakuna Huduma walizopata why kulipa ada ya mwaka mzima ?Hata hivyo kama serikali itachelewa kutoa tamko basi wazazi tuzikomalie shule maana huu utakua wizi mzazi ajaleta corona ivyo lazima mwaka ugawanywe kwa robo 4 sawa na miezi mitatu mitatu na tunaondoa ada ya robo moja ambayo watoto walikua nyumbani

Kama walimu watatimiza wajibu wao wote kwa 100%, yaani kufidia kila kitu, Basi hata wazazi watoe ada kwa 100%
 
Back
Top Bottom