liberatormuhewa
Member
- Nov 5, 2019
- 51
- 53
Hiyo hiyo selikali unayoiomba kutoa tamko walimu wake wamelipwa pamoja na kwamba watoto walikua nyumbani.Mkuu umeandika vizuri sana na serikali inabidi kutolea ufafanuzi ,maana watoto hakuna Huduma walizopata why kulipa ada ya mwaka mzima ?Hata hivyo kama serikali itachelewa kutoa tamko basi wazazi tuzikomalie shule maana huu utakua wizi mzazi ajaleta corona ivyo lazima mwaka ugawanywe kwa robo 4 sawa na miezi mitatu mitatu na tunaondoa ada ya robo moja ambayo watoto walikua nyumbani