Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

Hiyo hiyo selikali unayoiomba kutoa tamko walimu wake wamelipwa pamoja na kwamba watoto walikua nyumbani.
 
Hilo unasema wewe, kama hatafanya kama ivo?
 
If that is the case basi hata wakati wa corona wangejiamulia utaratibu wao maana wana mkataba na mzazi. Lakini pia wangekuwa hata na syllabus yao.bado kuna mambo serikali haiwezi yaacha moja kwa moja kwa watu binafsi. Siku zote serikali inasimama somewhere kulinda watu wengi dhidi ya wachache katka haki.

 
Haya ingekuwa 50,000 ni yake.wenye kutoa pesa nyingi ndo wanaelewa kinachosemwa.wale wengine wanajitutumua tu kuonesha its ok maana it doesnt cost them much. Wanaume hawakadiliani hata kidogo.wanaheshimiana mawazo.

Umekalili sna shahawa! shahawa! Hivi unahisi ww peke yako ndiyo una unasomesha shule binafsi? Na usikute ada ya mwanao haizidi hata 2M
 
NAJUA MAMA ANASOMA HUMU KILA SIKU

MPENDWA PROF HON WAZAZI WAMEANZA KUTANA NA VICHEKESHO

UWEZI LIPA ADA MTOTO AKIWA NYUMBA HUU N UFADHAIINA

KAMA MZAZI MWENYEMTOTO UNAESOMESHA PIA AMA ULISOMESHA

MADA MUAFAKA KUTIA TAMKO WAZAZI WANALIPAJE ADA

ZILE BUSARA ULIZOSEMA NAHISI BADO ZIKO MTOWAMI AZIJAFIKIA HIIF BODI ZA SHULE

AHSANTE KAMA MZAZI TUNAAMINI UTALIFANYIA KAZI
 
Shule nyingi za private,hawakuwalipa walimu wao mishahara,na wengine hata mshahara wa mwezi mmoja kabla ya kufunga shule hawakulipa walimu wao mpaka sasa...

Mfano, DYNAMIC NURSERY AND PRIMARY SCHOOL,ilyopo CHAMAZI DSM TANGU MWEZI WA TATU MPAKA SASA HAWAJALIPA MISHAHARA,na wadai full ada kwa sisi wazazi????
 
Je wajua kuwa kuna baadhi ya shule zilisitisha mishahara kwa walimu. Shuke ambazo zilisitisha mishara ni vyema ada ikagawanywa kwa nne ili robo moja isilipwe kwani shule haikuwajibika kumlipa mwalimu wala kumfundisha mwanafunzi
 
Hivi kuanzia March 17 mpaka June 17 ulipoandika haya maelezo ni week 7 na ikimaanisha ni mwezi mmoja? Kama ni hivyo basi sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…