Kilimo na mifugo utawataka kwa kuanzisha bodi, hapa tuna bodi ya mbegu, bodi ya mbolea, bodi ya nafaka, kule bodi ya maziwa, bodi ya nyama, bodi ya ngozi etc, etc, etc...... halafu nchi inaagiza ngano, sukari, na mafuta ya kula billions of money! Kuna bodi ya sukari by the way. Kazi yao kutoa vibali vya kuagiza sukari.
Wizara za Kilimo na Afya nadhani ndio zinaongoza kwa kuwa na taasisi nyingi zisizo na tija.
Nawasalimu kwa jina la JMT..na Kazi iendelee.
Ifike wakati serikali ichukue maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa kwa kupunguza utitiri wa Taasisi zake zilizo chini ya Wizara mbalimbali.
Ukiacha kwamba hazina tija kwa Nchi bali ni mzigo mkubwa sana wa walipakodi wa Tanzania kwani zinaongeza gharama za utawala zisizo na msingi na kuleta urasimu,gharama na usumbufu kwa wananchi.
Serikali chukueni hatua ya kuziunganisha na kufuta zile zisizo na tija.
Just imagine Wizara moja ya Viwanda na Uwekezaji ina Taasisi zaidi ya16 zilizo chini yake.Sasa piga hesabu kuna zaidi ya Wizara ngapi hapa Tanzania.
Hamuoni kuwa na lundo la Taasisi kunaongeza urasimu,usumbufu na gharama zisizo za msingi kwa wawekezaji na wananchi?
Kwa kuwa mh.Rais wewe ni Msikivu na Ili kuleta ufanisi ,basi shughulikia na hili maana imekuwa ni kichaka cha upigaji wakati ufanisi ni zero👇
Imeshafanya hivyo? Hiyo na Planning Commission tofauti yao ni ipi?The National Development Corporation ilianzishwa na serikali kwa ajili ya kuchochea,kuendeleza na kukuza maendeleo ya kiuchumi ya Taifa kwa sectors zote.
Yaani ni wizi na vurugu tupuKilimo na mifugo utawataka kwa kuanzisha bodi, hapa tuna bodi ya mbegu, bodi ya mbolea, bodi ya nafaka, kule bodi ya maziwa, bodi ya nyama, bodi ya ngozi etc, etc, etc...
Hivi watumishi wa hizi bodi huwa wanalipwa mishahara kila mwezi au malipo yao yapojwe?Weeeee hhh waguse hukohuko, huku kwetu watuache tujenge nchi.
Hizi bodi ndio zifutwe
Bodi ya maziwa
Bodi ya nyama
Bodi ya korosho
Bodi ya pamba
Bodi ya kahawa
Bodi ya filamu
Bodi ya bahati nasibu
Bodi ya misitu n.k
Ugatuzi ni serikali za majimbo au wananchi wawachague viongozi wao wengi.
Karibu wakuu wa hayo mashirika yote na hizo bodi wanateuliwa na mtu mmoja amabaye ndiye anateua pia msururu wa viongozi watakaozisimamia.Uwekwenye idara na taasisi serikalini madaraka yanagatuliwa
Ugatuzi ni muhimu sana... Sasa sijui kwanini serikali ya ccm inaamini katika kuwashikilia wananchi na kuwafanya watumwa wa kutoa kafara ili mambo yao yaende.Ugatuzi ni serikali za majimbo au wananchi wawachague viongozi wao wengi.
Karibu wakuu wa hayo mashirika yote na hizo bodi wanateuliwa na mtu mmoja amabaye ndiye anateua pia msururu wa viongozi watakaozisimamia.
Bodi zetu zinaongozwa na wasomi makada. Hawana uwezo wa kuyakataa maelekezo ya wanasiasa wenye maslahi binafasi.... halafu nchi inaagiza ngano, sukari, na mafuta ya kula billions of money! Kuna bodi ya sukari by the way. Kazi yao kutoa vibali vya kuagiza sukari.
Wizara za Kilimo na Afya nadhani ndio zinaongoza kwa kuwa na taasisi nyingi zisizo na tija.
Wizara inaundwa na kupitia hizi Taasisi.
UTI wa mgongo wa wizara ni hizi Taasisi, zisipokuwepo hakuna wizara.
Kazi kubwa ya wizara ni kuzisimamia hizi Taasisi.
Unaweza kujiuliza kuna Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba TMDA then kuna Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali,TBS and such nonsense..Hata nafasi ya msemaji wa serikali na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu inatakiwa iwe nafasi moja.