antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hakuna sura ya Nyerere hapo.
Ukute fisadi flani kapenyeza picha ya mjomba wake kinyemela

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapenda sana Watanzania kujadili offpoints.Huku ni kuchanganyikiwa..hahahaha..ina maana wao peke yao ndio wanaijua sura ya Julius Nyerere wa miaka hiyo....
Kama ingekuwa hiyo 92% watu wangekosa hoja.
Heshima aliyopewa Baba wa Taifa ni kubwa sana...kiukweli kwa sura ile hatujamtendea haki yeye na Taifa kwa ujumla
Mambo ya aibu sana haya .....dunia nzima inatucheka
SIO NYERERE WALA HAWAFANANI HATA SISI MIAKA HIYO TULIKUWEPO
Balozi Said Shaibu Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu swali kuhusu sintofahamu ya sanamu la Mwl. Nyerere amesema;
Kwenye sintofahamu hiyo kuna waokubali kuwa sanamu lile linafafa na Nyeyrere na wengine wanaokataa.
Akisema kuwa Serikali imefuata maelezo ya kitaalamu yaliyotolewa na kamati maalum ya wataalamu ambayo ilishirikia kuanzia kwenye mjadala mpaka kupatikana kwa sanamu hiyo na, sanamu hiyo imefadhiliwa na SADC, lengo likiwa kutambua mchango wa Nyerere katika Ukombozi wa Bara la Afrika hususan Kusini mwa Afrika.
Kamati hiyo ilihusisha watu mbalimbali ikiwemo; familia ya Nyerere akiwemo Madaraka Nyerere, wizara ya mambo ya nje, wizara ya utamaduni sanaa na michezo, Wataalamu kutoka UDSM, pamoja na watu wengine.
Kuanzia hatua ya awali mpaka sananu linakamilika Kamati ililidhika.
Vigezo vilivyotumika kupatikana sanamu ile ni:
1. Kumlenga Nyerere wa miaka 60 na miaka 80, wakati Nyerere akiwa 'active' katika mapambano ya kusaidia kupatikana kwa uhuru na maendeleo katika nchi za Kusini mwa Afrika.
2. Kaiuli ya mtoto wa Nyerere, Madaraka Nyerere mara kadhaa na siku ya uzinduzi ameongea kwa kusisitiza kwamba yule ni baba yake, kama kuna mtu anabisha amuulize yeye.
3. Taratibu za kitaalamu zinasema unapotengeneza sanamu unatakiwa uipatie angalau kufikia 75%, lakini sanamu la Nyerere Addis Ababa kwa matokeo yake ni 92%, na Waziri wa Utamaduni na Michezo alitoa ufafanuzi wa kina juu ya hili.
Hivyo mapokeo ya wizara ya Utamaduni ndio mapokeo ya Serikali, ile ni sanamu ya Nyerere
Mjadala unahusu mchango wa Baba wa Taifa au Sanamu inayosemekana ni ya Nyerere?...Mnapenda sana Watamzania kujadili offpoints.
Mbona issue ya kufanana au kutokufanana ni issue ndogo sana!!. Nilitarajia vijana na wasomi wa Kutanzania wajikite kwenye mchango wa Nyerere kwa ukombozi wa nchi za southern Africa, kwanini iwekwe mwaka 2024 na siyo mwaka 1990 baada ya Uhuru wa Namibia iliyokuwa nchi ya mwisho kupata uhuru?.
Sanamu kama haigananiyaweza kubadilishwa wakati wowote. Lakini akili za watanzania zimejikita katika mambo peanut au mediocre. Yaani mnapenda udaku udaku tu
Hao wanaodai samamu ilikosewa waende waseme na hii picha imekosewa.mfano wa picha ya kiongozi wetu miaka ya nyuma akiwa kijana.
Chuma hiki hapa.
👇
View attachment 2912029
Yap !! Na wamekuambia ni appearance yake kipindi cha harakati za ukombozi wa nchi za southern Africa. Yaani 1960-1980s. Shida nyie mumekariri appearance ya Nyerere kwenye 1990sMjadala unahusu mchango wa Baba wa Taifa au Sanamu inayosemekana ni ya Nyerere?...
Mbona macho yamekutoka?...kwani ulikuwa mmoja wa wana kamati?....
Wewe unaiona hiyo 92% hapo?
Punguza kudandia watu ....
Hamna haja ya kubishana...Yap !! Na wamekuambia ni appearance yake kipindi cha harakati za ukombozi wa nchi za southern Africa. Yaani 1960-1980s. Shida nyie mumekariri appearance ya Nyerere kwenye 1990s
As long as ni sanamu haina shida, ni sanamu tu...
Sanamu ile haifanani na Nyerere.Na Madaraka anafanana na mama Maria Nyerere.Wameangalia vigezo vingi
View attachment 2912041
Hivi unashindwa kushugulisha akili yako, tafuta picha wakati Tanganyika inapata uhuruWeka hizo picha hapa tuone
Wenzenu miaka ya 80 tulikuwa tunaishi vijiji jirani na Butiama. Alipokuwa shambani tunapita jirani na shamba lake kwenda shule tunamuona. Lakini hatukuwahi kuona Nyerere mwenye Sura hiyo. Huyu labda ni wa 2030.
Balozi Said Shaibu Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu swali kuhusu sintofahamu ya sanamu la Mwl. Nyerere amesema;
Kwenye sintofahamu hiyo kuna waokubali kuwa sanamu lile linafafa na Nyeyrere na wengine wanaokataa.
Akisema kuwa Serikali imefuata maelezo ya kitaalamu yaliyotolewa na kamati maalum ya wataalamu ambayo ilishirikia kuanzia kwenye mjadala mpaka kupatikana kwa sanamu hiyo na, sanamu hiyo imefadhiliwa na SADC, lengo likiwa kutambua mchango wa Nyerere katika Ukombozi wa Bara la Afrika hususan Kusini mwa Afrika.
Kamati hiyo ilihusisha watu mbalimbali ikiwemo; familia ya Nyerere akiwemo Madaraka Nyerere, wizara ya mambo ya nje, wizara ya utamaduni sanaa na michezo, Wataalamu kutoka UDSM, pamoja na watu wengine.
Kuanzia hatua ya awali mpaka sananu linakamilika Kamati ililidhika.
Vigezo vilivyotumika kupatikana sanamu ile ni:
1. Kumlenga Nyerere wa miaka 60 na miaka 80, wakati Nyerere akiwa 'active' katika mapambano ya kusaidia kupatikana kwa uhuru na maendeleo katika nchi za Kusini mwa Afrika.
2. Kaiuli ya mtoto wa Nyerere, Madaraka Nyerere mara kadhaa na siku ya uzinduzi ameongea kwa kusisitiza kwamba yule ni baba yake, kama kuna mtu anabisha amuulize yeye.
3. Taratibu za kitaalamu zinasema unapotengeneza sanamu unatakiwa uipatie angalau kufikia 75%, lakini sanamu la Nyerere Addis Ababa kwa matokeo yake ni 92%, na Waziri wa Utamaduni na Michezo alitoa ufafanuzi wa kina juu ya hili.
Hivyo mapokeo ya wizara ya Utamaduni ndio mapokeo ya Serikali, ile ni sanamu ya Nyerere
Halafu eti sirikali ya Tanzania imetumia jumla ya Tsh 487 milioni kwenye huu mchongo wa sanamu yenye sura feki !!!Jamani ebo tusaidiane hapa, hii ndio sanamu yenye sura halisi ya muasisi wetu wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius K.Nyerere? [emoji849]View attachment 2912088
Mnapenda sana Watamzania kujadili offpoints.