Serikali: Sanamu ya Nyerere imemlenga Nyerere wa miaka ya 60-80, imefanana naye kwa 92%. Serikali imeridhika yule ni Nyerere

Kwa hiyo serikali ya ccm imelidhika kuwa nyerere ni gay maana mdomo wa sanamu imetengenezwa kwa mtindo wa upinde signal domo la kunyonya mkunyenge ....ni mpumbavu tu anaye weza kukubali ile sanamu....Nyerere hajawai kuunga mkono vitendo vya ushoga popote.
 
Aacha utoto basi tsh milioni 650 ni hela ndogo sana? Lazima hiyo hela ijadiliwe.
 
Hamna haja ya kubishana...
Kwa kifupi nikuambie tu hicho kipindi wanachosema nilikuwepo.
Ila hii Sanamu sio...
Hata mimi nikikuwapo!! Je uliwahi kukutana naye ana kwa ana?
 
Sema familia nayo ni wavumilivu, watu kukubadilishia baba yako ukubwani inaleta taharuki.
 
Umasikini wa fikra ni changamoto kubwa sana.
Neno Utaalamu hutumika vibaya sana katika kujidanganya.
Mambo mengine ni ya kutumia akili ya kawaida tu.
 
Hiyo sanamu haimfanani Mwalim.
Hiyo siyo sura ya Mwalimu!
 
CAG ahusike. Ni 92% au 29% ?

Bila shaka hata walio tengeneza hawakubali kuwa kazi yao imekidhi vegezo.
Kusema waTZ wanaendekeza vitu vidogo ni kuzima mjadala. Kwanza hiki siyo kitu kidogo, pili iwe ni kidogo au kikubwa kuna pesa imetumika, tatu hata kama isinge tumika pesa, ukweli utabakia kuwa ukweli, yule siye Nyerere tuleye mfahamu. Walio tathmini kazi kabla ya kuidhinisha hawakutenda haki hata kwa nafsi zao.
 
650M alafu wamemchonga Eboue. Huu ni wizi mkubwa Sana.
 
Kwa hiyo alizeeka kwanza (1960-80) halafu ndio akawa kijana?
 
Hiyo sanamu wamekosea pua na mashavu ya Nyerere.
walibomoe maeneo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…