Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

Wewe uliyefuatilia bunge si utuwekee hapa kifungu cha bajeti kilichopitisha matumizi ya kugharimia huo uhamishaji. Kupiga porojo tu bila kuweka vithibitisho haisaidii ukanushaji wako.
yaani mambo ya maendeleo yapo kwenye utekelezaji wewe ndio unakurupuka kuuliza bageti ? kweli?🤣🤣

kuna watu wako primitive sana inchi tatata 🤣🤣
 
Hadi waTanzania tutakapoamka na kuyajua haya pamoja na magoli yanayonunuliwa kwa Mil. 5 kwenye mrchi zinazoendelea ndio itajulikana kuwa Kuna kiongozi ameuza nchi kwa gharama anayoitaka yeye na wala sio bajeti ya Bunge hili la chama moja!

WaTanzania bila kuamka utekaji hautaisha!!
 
yaani mambo ya maendeleo yapo kwenye utekelezaji wewe ndio unakurupuka kuuliza bageti ? kweli?🤣🤣

kuna watu wako primitive sana inchi tatata 🤣🤣
Unapata ugumu gani kutuwekea hapa hilo fungu la bajeti? Mbona barabara na hospitali zinazojengwa zinaainishwa wazi? Ni wizara gani iliyotengewa hiyo bajeti?
 
Hilo liko wazi kabisa lakini watu wameingiwa na woga wa kulisemea.. Ni nani anafadhili huu mradi? Most likely ni kutoka jangwani
 
ulifuatilia bunge kweli wewe?🐒

ulichokisoma ni nini hasa kwa mfano...
na jambo hili linasimamiwa na wizara zipi kwa mfano 🐒
'Kwa mfano' zako hazisaidii kujibu hoja iliyopo mezani.

Weka unachokifahamu na unachokitetea kwa uwazi ili tunaofuatilia jambo hili tuelewe wewe chawa.
 
yaani mambo ya maendeleo yapo kwenye utekelezaji wewe ndio unakurupuka kuuliza bageti ? kweli?🤣🤣

kuna watu wako primitive sana inchi tatata 🤣🤣
Haya, huyu utadhani ni mtu aliye na akili timamu kweli?
Serikali iendeshwe tu kiholela kama mali ya mtu binafsi?
Ndiyo maana sasa kila linalo fanyika tunaambiwa pesa katoa 'Chura Kiziwi' Kapewa pesa za kuwanunua waTanzania?
Kuna mtu duniani kote anayeweza kuwanunua waTanzania?

Wewe na uarabu wako tutawakomesha tu.
 
Mimi naomba sana, maswala kama haya wayashikie bango sana CHADEMA kuyahoji mpaka majibu yapatikane na wananchi waelezwe ukweli.

Maswala kama hili haifai kuyavunga vunga tu na kuyaacha bila kupata majibu sahihi.

Kwenye nchi zenye taratibu zinazo heshimika, swala kama hili linaiondoa serikali kwenye madaraka. Hapa kwetu mambo ni tofauti kabisa. Ndiyo sababu sasa tuna dharauliwa hata na vi-nchi vya kipumbavu hivi kwa vile tu vina pesa za kununua viongozi wasiokuwa na akili kichwani kama huyu wetu. Hapo Kenya Ruto hela za kukodi ndege zilimtoa jasho na aibu kubwa!
 
🤣 hii dunia kweli mviringo 🤣

yaani watu wanaishi msomera wamelima hadi wamevuna mshupaza mshupaza shingo na mwenye kiburi hakuona haya yote tratraatsaaahh 🤣
 
Unapata ugumu gani kutuwekea hapa hilo fungu la bajeti? Mbona barabara na hospitali zinazojengwa zinaainishwa wazi? Ni wizara gani iliyotengewa hiyo bajeti?

kwahivyo ile milori iliyokua ikisafirisha ming'ombe kuelekea msomera ilikua inafanyika usiku?🤣

ugumu wa nani na mambo yalikua yakifanyika hadharini mchana kweupe?

yaani kiburi na jeuri ya yako ya kupuuzia mambo itupatie tabu ya kueleza ?
hiyo ni useless 🐒
 
'Kwa mfano' zako hazisaidii kujibu hoja iliyopo mezani.

Weka unachokifahamu na unachokitetea kwa uwazi ili tunaofuatilia jambo hili tuelewe wewe chawa.
utaelewa nini akati una majibu yako ya hisia mfukoni, yakiambatana na kiburi na mihememko? 🐒
 
Kukubali kuhongwa ili uhamishe watu wako ni kujidhalilisha


Haina tofauti na mwanamke anaepewa pesa ili kulisaliti penzi huku akiwa kaolewa kwa ndoa ya kiimani.
 
Mwana wa Mafarume wa UAE, ametoa USD milion 150 kwa ajili ya zoezi hilo
 
Mkuu pesa anatoa Mwana mfarume wa UAE ndio anaye fadhili zoezi, sio Serikali wala nini, jamaa kamwaga pesa za kununua hadi Magari ya kuwasafirishia, Mamlaka ya Hifadhu ya Ngorongoro imeisha agiza mabasi mengibe mapya kama 7 kwa ajili hio ya kuwasafirishia wamasai.
 
Wanaofadhili Wamasai kuondoka Ngorongoro ni wale wawekezaji wa Kiarab walioshinikiza serikali ya Tanzania kuwatimua Wamasai ili wao wafanye biashara pale.
 
Hawatasema mpaka aje Rais kama Mwendazake
 
Wamasai wanajua kuwa wanaondolewa ili Samia awagawie maeneo hayo wajomba zake ; kama alivyofanya kwa Bandari za Tanganyika!
Hao hao waarabu wa UAE ndio wanao toa mapesa ya kufanikisha operation ya kuwahamisha Masai!
Nia ya ho Waarabu ni kusimika nchi ya kiarabu ndani ya Tanganyika. Halafu Tanzania ibakie tu nchi jina, huku wao wakishikilia na kumiliki njia zote za uchumi. Watanzania watafanywa kuwa kama akina Mwosha mbwa, wawe wamiliki wa uchawa tu.
 
lile bunge nikibogoyo ule ni mkutano mkuu wa ccm kujadili mambo ya chama,hakuna bunge pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…