Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
yaani mambo ya maendeleo yapo kwenye utekelezaji wewe ndio unakurupuka kuuliza bageti ? kweli?š¤£š¤£Wewe uliyefuatilia bunge si utuwekee hapa kifungu cha bajeti kilichopitisha matumizi ya kugharimia huo uhamishaji. Kupiga porojo tu bila kuweka vithibitisho haisaidii ukanushaji wako.
kuna watu wako primitive sana inchi tatata š¤£š¤£