Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Acha kudanganya watu, hiyo Corona Tanzania yupo kitambo sana ,hata kabla kigogo2014 hajadakwaKigogo hajakamatwa. Yupo facebook anajiita CORONA TANZANIA.
Kama unaujua mwandiko wake vizuri basi hutanibishia.
Itafute hiyo page ya CORONA TANZANIA.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Awali walimdaka jamaa mmoja morogoro wakijua ndio huyo Corona Tanzania kumbe sio, huyo jamaa ni wakitambo sana Facebook ,alikuwa anatumia jina la kawaida ,alipoenda nje akabadili na kujiita corona Tanzania ,
Huyu akawa anachukua taarifa za kigogo2014 twitter na kuzipost fb hasa kipindi cha Corona .