Prisonerx
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 678
- 1,807
Ndio great thinker ila hana effect hata account yake ya mwanzo imeshikiliwa...kabadili jina na kujiita nani?
Ndio great thinker ila hana effect hata account yake ya mwanzo imeshikiliwa...kabadili jina na kujiita nani?
mhh..fatilia jina jipya la great thinker..anapiga spana kama kawaida. huyu mtu aiseeHANA LOLOTE TENA
Unahisi hakuna uhakikaKIGOGO 2014 KASHIKWA MAPEMA SANA KESHO NI TAKRIBAN MWEZZI SASA AMEPOTEA YUPO MIKONONI MWA DOLA
Akaunti yake ni wazi inaendeshwa na watu wengine na yeye yupo kimya. R. I. P Mwamba!Kwa nn umewaza hivyo?
Anatumia ID gani?Akili kubwa hii. Jamaa kajaa tele Twitter muandiko wake wa zile herufi kuunganisha ni ule ule jina tofauti na bado ni moto wa kuotea mbali. Wengi hawajamstukia.
Hata mimiHapana mkuu. nilitaka na mimi niendelee kufaidi nondo zake
KIGOGO 2014 KASHIKWA MAPEMA SANA KESHO NI TAKRIBAN MWEZZI SASA AMEPOTEA YUPO MIKONONI MWA DOLA
Waseme walimkamata muanze kudai serikali ilimuua?Hii Serikali iliyotangaza hadharani kumsaka Kigogo halafu imkamate ikae kimya? Kigogo bado yuko huru Kitaa.
Waseme walimkamata muanze kudai serikali ilimuua?
Nami ningeshangaa. Serikali ya kiki imkamate jamaa WANTED kitambo halafu ipige kimya? No wayHii Serikali iliyotangaza hadharani kumsaka Kigogo halafu imkamate ikae kimya? Kigogo bado yuko huru Kitaa.
inasemekana yaliyo mkuta huko ni zaidi ya kukamatwa, chezea 'combination' ya wa-Romania na Waisrael wewee !...………….
Ati corona Tanzania..😂😂Kigogo hajakamatwa. Yupo facebook anajiita CORONA TANZANIA.
Kama unaujua mwandiko wake vizuri basi hutanibishia.
Itafute hiyo page ya CORONA TANZANIA.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Akaunti yake ni wazi inaendeshwa na watu wengine na yeye yupo kimya. R. I. P Mwamba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akamatwe...Na ikitokea kaibuka?
Sio huyo ,huyo ni mfuasi wake kama wale wanaojiita babu wa kigogo, shemeji wa kigogo ,n.kNdio great thinker ila hana effect hata account yake ya mwanzo imeshikiliwa...
Nyie wageni wa twitter ndio mtajidanganya hivo,mhh..fatilia jina jipya la great thinker..anapiga spana kama kawaida. huyu mtu aisee