Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
leo mkuu ni tarehe27/5/2020

maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom