Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...

Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...

Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...

Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.

Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Yaan Serikali ya Magufuli ??? Itoe sh 250 million kwa mambo ya ujinga?

Waachane na kigogo wamalizie madaraja na barabara

Britannica
 
CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...

Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...

Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...

Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.

Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Kwani ulisikia mwanamke katumika kumsaka?
 
Mbona alishamtwiti Lugola kitambo kama hana uwezo wa kumkamata! Aliweka kabisa na namba ya simu ili Lugola amtafute kupitia hiyo namba, na mpaka leo hatujapewa tena mrejesho.
Hahahaaa Lugola bwanaaa yaani vitu vidogo vya analojia vinamshinda ndio ataweza kweli kupambana na vitu vya dijitali vinvyohitaji akili kubwa? Tena kigogo akimuona sehemu yeyote anamwambia live lugola nakuona unakatisha hapa na gari lako au nakuona sasa unakunywa chai,yaani anafujo kweli kigogo na anajua hawawezi mdaka ,siku wakitoa tangazo la kumtafuta na yeye siku hiyo ndio anakaa online masaa 24 😀 😀 😀 😀 😀.
 
Hapa watahisiwa Watu wengi sana ila ukweli utabaki pale pale kwamba kuna tatizo huko huko Ikulu hadi katika Taasisi Nyeti nchini kwani haiwezekani Jamaa akawa na taarifa mbichi na zenye uhakika kabisa. Kama Kangi anataka Kumpata huyu Mtu aanze huko Ikulu na katika Taasisi ' Nyeti ' kwani atakuwepo huko huko au ni Mstaafu wao lakini anayewajua vyema na ambaye pengine kuna Vifaa ' Maalum ' vya Mawasiliano vilivyopo Ikulu na Kwingineko ambavyo vimewekwa na Yeye anavijua au atakuwa alienda nae Kozi na ameiva vilivyo. Ukimsoma utagundaua ya kwamba ni Mtu mwenye Jeuri, Kiburi halafu anajiamini mno hali ambayo inanifanya niamini kuwa huyu Jamaa ni ' Jasusi Mbobezi ' na ' Hatari ' sana kuwahi kutokea nchini Tanzania.
KAMA MKURUGENZI WA IDARA YA......MKOA WA....... NIONDOE HOFU KWA WATANZANIA KWAMBA KWA SASA TUKO SEHEMU NZURI KATIKA KUMFATILIA KIBARAKA WA MABEBERU KWA JINA LA KIGOGO.😎😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom