Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
hivi yule mcomoro ni backup ya kigogo?
Kwa hiyo wewe unaona alifanya vizuri huyo Kigogo wako kuvumisha kuwa Rais amekufa? Nafikiri na wewe wakuhoji tu!
Wakati ukifika parapanda italia tu , ondoa shakaHopeless comment!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ma IT wa serikali wanatumia youtube tutorials kufanya udukuzi
Ule haukuwa mtego,yeyote yule mwenye chuki dhidi ya rais angeweza zusha ile hasa kama ulishuhudia tukio lililomfanya rais atoweshwe.LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Kwa hiyo wewe unaona alifanya vizuri huyo Kigogo wako kuvumisha kuwa Rais amekufa? Nafikiri na wewe wakuhoji tu!
Sio mkuu,kuna kitu kinaitwa DEAL,nipe hiki nikupe hiki.Ndio ulimwengu wa leo.Ili uweze kupewa cooperation sharti ni kwamba kosa unalomtuhumu huyo mtu ni lazima liwe kosa kwenye nchi unayoomba msaada
Kama umekuuma kajinyonge, lugha ya mtandao ati.Andika kiswahili bana mbona ungeeleweka tu mkubwa? Hichi kiingereza cha wàpi Mungu baba
Atakuwa anaimba pambio huko jehanamu, sio kwa matusi yale.Hivi Tanzagiza aliishiaga wapi?
Au ndio sandarusi za koko beach?
Duh! Amefanya kosa gani kubwa mpaka atengewe mamilioni?Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Mkuu huyo ni mkata viuno hapo yupo kazini.Walisema hivyo hivyo kuhusu Osama! Lugola akimshindwa Kigogo 2014 ndani ya siku 31 itabidi ajiondoe kwenye nafasi ya uwaziri. Naanza leo kuhesabu
Mbona bado hawakumshika?LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Bado anatweet..Au yawezekana keshakatmatwa.
Huna lolote, sio kwamba umechapia ila hukuwa unajua
We jamaa mjinga sana sasa 250 mil.kwa ajili ya Kigogo?kwa hiyo umemuweka kigogo kwenye kundi la akina Gaidi? Kweli utakuwa haufanyi fair na hata marekani kuna mambo wanafanya sio fair kwa wengineCANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...
Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.
Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Kabisaa na wataonewa wengi kweli,maana wanaoitumia ni wengiKwa iyo. Iyo Avatar akitumia mtu mwingine wanamuuunganishia Dot kwamba ndio yule.