Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Rais wako ni mungu?Kwa hiyo wewe unaona alifanya vizuri huyo Kigogo wako kuvumisha kuwa Rais amekufa? Nafikiri na wewe wakuhoji tu!
Rais wako ni mungu?Kwa hiyo wewe unaona alifanya vizuri huyo Kigogo wako kuvumisha kuwa Rais amekufa? Nafikiri na wewe wakuhoji tu!
Kwa iyo. Iyo Avatar akitumia mtu mwingine wanamuuunganishia Dot kwamba ndio yule.Samahani mkuu wanaitafuta hiyo avatar?,au wanamtafuta mwenye avatar?
Ushahidi wa lipi?Weka ushahidi wa hicho unachokisema mheshimiwa, au ndo unatumia Uhuru wako wa kuongea bila kujali unachoongea nini. Hapa ndo tulipofikia km Taifa, mtu anaropoka tu bila hata kuwa na ukweli was kile anachokizingza.wapi watendaji wanalindwa na polis kwa maslahi ya ccm, wapi walinzan wanapigwa. Ndg yangu tuliombee Taifa hili Aman tuache itikadi na ushabiki wa kivyama usio na tija.tusipandikizane chuki miongoni mwetu
Hopeless comment!Rais wako ni mungu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama anayosema kigogo ni uwongo basi akamatwe kama ni kweli basi aachweView attachment 1252240
Asije akasingizia watu wakapata shida kumbe, hana uhakikaHata mimi nimekuwa na wasiwasi nae tangu mwanzo wa uzi hadi mwisho yeye ni dau tu tena hataki chini ya mil 250 haaaaaahaaaaa
Jibu swali,Rais wako ni Mungu kuwa hatakufa?Hopeless comment!
Hawajazoea kusemwa wamezoea kusifiwa tu.Matumizi mabaya ya fedha na rasilimali watu kwani Kigogo ana impact gani mpaka awe big deal kiasi hicho ?
Ongezea nyama apoYeye alitoa ukweli kuwa USA wanawadukua marais wa EU lakini US wanamtaka hai au maiti
Siyo Mungu ila kumzushia kuwa amekufa ni kosa la jinai Tanzania na ukipatikana cha mtema kuni lazima ukipata!Jibu swali,Rais wako ni Mungu kuwa hatakufa?
Kwani hauijui CCM! Waliofanya uhalifu na kujiunga na CCM walisamehewa hivyo na Kigogo 2014 akijiunga na CCM utaona wakimfanyia tafrija, shabashii!Kigogo 2014 (asiyejulikana) anaisakama serikali ya awamu hii hasa maovu yake anatafutwa kwa kuambiwa siku zake zinahesabika. Bahati nzuri katoa hadi namba ya simu yake (kigogo) apigiwe. Mie nauona ni ujinga na kuhamisha mjadala wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Na kwa lugola kaona ni ajenda kubwa sana.
Musiba huyu anajupikana kanyamaziwa kimyaa wala sijasikia tena akiitwa kuhojiwa wala kuripoti polisi. Huyu bila shaka Lugola kakwaa kisiki.
Uchaguzi serikali za mitaa. Hapa ndio serikali ya ccm kama inavyojiita imekaa kimya dhidi ya madhira wanayofanyiwa upinzani huku watendaji wakiwa watekelezaji wakuu wa madhira hayo huku wakisimamiwa na ccm na jeshi la polisi.
Walinzani wanaonekana kama wahaini wa nchi hii na wahalifu huku serikali ikiwa kimyaa ila itokee ccm kapigwa au mtendaji kafanyiwa kama wanavyofanyiwa upinzani utaona tv, magazeti na lugola wakitoka mafichoni na kuwaita magaidi na wamwaga damu. Ila kwa kuwa ni wao hayo majina huyasikii wala kukemea wala kuchukua hatua yoyote.
Bila shaka naona lugola katoka na katumwa kuja kubadiri hali ya upepo watu wasizungumzie maisha yao na mustakabari wa miaka 5 ijayo bali wabaki na habari za umbea wa Kigogo 2014
Ushahidi wa lipi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lugola anajua kutumia internet?
Hiii inatakiwa ifunguliwe thread yake kuhusu elimu ya Mh. Kangi Lugola na elimu yake kuhusu kama anajua Maswala ya internetLugola anajua kutumia internet?