Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Acha kudanganya watu, hiyo Corona Tanzania yupo kitambo sana ,hata kabla kigogo2014 hajadakwaKigogo hajakamatwa. Yupo facebook anajiita CORONA TANZANIA.
Kama unaujua mwandiko wake vizuri basi hutanibishia.
Itafute hiyo page ya CORONA TANZANIA.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Itangaze ili iweje ,kashughulikiwa kimya kimyaHii Serikali iliyotangaza hadharani kumsaka Kigogo halafu imkamate ikae kimya? Kigogo bado yuko huru Kitaa.
Yaan jamaa anashindwa kufikiria kitu kidogo hichoWaseme walimkamata muanze kudai serikali ilimuua?
naomba linkNa ile pinned tweet ya kuhusu Ben Saanane naona twitter wameiondoa.
Inapendeza sana kubishana kwa facts kama hizi. Ina maana alipoona anakaribia kuzingirwa akaamua kuwa na akaunti ya back up...huenda kweli hajaingia mikono salamaPunguza uongo Huyo Great Thinker amejiunga mwaka 2020 , kigogo2014 Yuko Twitter tangu 2014View attachment 1509756
Inapendeza sana kubishana kwa facts kama hizi. Ina maana alipoona anakaribia kuzingirwa akaamua kuwa na akaunti ya back up...huenda kweli hajaingia mikono salama
Sio huyo ,huyo ni mfuasi wake kama wale wanaojiita babu wa kigogo, shemeji wa kigogo ,n.k
Anaiga kuandika kama kigogo lakini sio
Kigogo2014 alishadakwa muda mrefu sana baada ya kuwa anadukua mafail ya serikali, aliwekewa mtego mdogo sana akajaa nyavuni
Hakuna Fact aliyoleta ,mm sijazungumzia Great thinker huyo kujiunga twitter lini, nimezungumzia yupo twitter hata kipind kigogo2014 hajapoteaInapendeza sana kubishana kwa facts kama hizi. Ina maana alipoona anakaribia kuzingirwa akaamua kuwa na akaunti ya back up...huenda kweli hajaingia mikono salama
Wewe ndio muongo na hujaelewa nilichosema
Narudi huyo Great thinker yupo kabla hata kigogo2014 hajadakwa
Na huyo Great thinker mnayejidanganya ndio kigogo2014 ,hata yeye hajui kigogo yupo wapi View attachment 1509785
Siku kigogo akitokea ndio utakubali kigogo hajakamatwa walimripoti kwa acaunt yake inashikiliwa
Huyu jamaa yupo ila kwa sasa amejikita sana instagrum huko twiter anapita ila haposti wala kukoment anadukua picha tuu anapost instagrum.Hakuna Fact aliyoleta ,mm sijazungumzia Great thinker huyo kujiunga twitter lini, nimezungumzia yupo twitter hata kipind kigogo2014 hajapotea
Ila kigogo alisema pale Twitter kuwa anaenda likizo kwa mudaKama wamemripoti ,ajitokeze kwa akaunti nyingine
Kigogo2014 alishadakwa muda tu
Hao matapeli wanaojitokeza wanatafuta follower
Hata huyu Anayejiita Great thinker sio Kigogo2014
Hata yeye anakisia tu huenda kigogo yupo ila hana uhakika kiongoz wao kapotelea wapi
Hata Rafiki yake Haule hajui kigogo yupo wapi, View attachment 1509790
Unataka kusema kuwa aliyepost siyo yy.sawa muda ndo utaongea kwa maana sina data zozote za kigogo kama yuko mikono salamaNa ww ukaamini aliyepost ni kigogo?
Hiki kipind cha uchaguzi ndio aende likizo ?
Kigogo2014 yupo mikono salama
Angalia jmaa kajiunga linHakuna Fact aliyoleta ,mm sijazungumzia Great thinker huyo kujiunga twitter lini, nimezungumzia yupo twitter hata kipind kigogo2014 hajapotea
Usiwe muongo huyo jmaa kajiunga may 2020Nyie wageni wa twitter ndio mtajidanganya hivo,
Huyo Great thinker yupo hata kabla kigogo2014 hajadakwa
Huyo ni mfuasi wa kigogo ,sawa na kina kidukulilo , mtoto wa kigogo, Mzee kigogo ,n.k
Kigogo2014 yupo mikono salama
Sasa Kigogo kapotea May 2020?Angalia jmaa kajiunga linView attachment 1509809
Fatilia uandishi wa kigogo na wa huyo jmaa Ni mmoja alafu Kuna makosa ya kiuandishi ya kigogo na huyo yanajirudia atajua Ni mtu mmojaSasa Kigogo kapotea May 2020?
mbona hamuelewi hata kinachosemwa?
Wewe unaamini huyo ni kigogo2014
Mwenzio hata hajui kigogo yupo wapiView attachment 1509814
Hiyo account IPO kabla fatilia uandishi wa kigogo na huyu jmaa Ni mmoja pia makosa ya kiuandishi ya kigogo na huyo jmaa anayo wewe ndiyo kilaza hujachunguzaWere tahahira kweli ,kwahiyo kigogo2014 kapotea May?
Huyo yupo hata kipind kigogo2014 yupo
Post ya mwisho ya kigogo2014 ni June 18
Tumia akili ,unaamini Great thinker ni kigogo ,wakati huyo Great thinker hajui kigogo yupo wapi
Jf imejaa vilaza wasioweza hata kuunganisha dot,kuchambua mambo, ndio maana mnatapeliwa na wanasiasa matapeli View attachment 1509817
Huyo hajielewi amasimamia Nini acha kupoteza mudaHiyo account IPO kabla fatilia uandishi wa kigogo na huyu jmaa Ni mmoja pia makosa ya kiuandishi ya kigogo na huyo jmaa anayo wewe ndiyo kilaza hujachunguza
Wewe kweli tahahira ,eti huyo ndio kigogoHiyo account IPO kabla fatilia uandishi wa kigogo na huyu jmaa Ni mmoja pia makosa ya kiuandishi ya kigogo na huyo jmaa anayo wewe ndiyo kilaza hujachunguza
Naona arsenal inakupa stress umeamua uzimalizie kwa kigogo.Wewe kweli tahahira ,eti huyo ndio kigogo
Yeye mwenyewe hajui kigogo yupo wapi