Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Nipo pamoja na Zahera pia As Vita na Wacongò watakaokuja kèsho uwanjani

Bana Congo
 
Kwa dalili hizi na maneno ya Albino Leo......nadhani kesho Simba anauwawa Taifa.
 
Kuwa mvumilivu tu ndugu yangu hii nchi kuna watu wana vipande vya mawe wanaita vichwa hata kama yasingekuwepo majukumu ya kitaifa bado Zahera ana haki zote za kuongea na Ibenge maana wanafanya kazi pamoja na bado ana haki ya kwenda kuwasalimia Vital maana ni ndugu zake kama Simba imeona njia ya kushinda inapotea wasitafute mchawi pumbavu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kwa kauli za Manara na baadhi ya mashabiki wa simba na kama kesho mtapoteza mechi ana sababu kamili za kuondoka nchini maana kiuhalisia atakuwa kwenye hali ya hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mashabiki wa simba akili mmekalia au vipi? Hivi Zahera kosa lake nn? Suala la kuonana na ndugu zake ni kosa? Mbona bado mna mambo ya kizamani sana. Au zahera anacheza? Shida yenu mnaamini sana uchawi sasa mnadhani zahera atavujisha siri.

Mechi za yanga mbona nyi mnaweka mikono yenu na hatusemi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha jabza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ni kwanini mashabiki wa simba wamfanyie vitimbi kocha wa Yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili za kutoka mtu utazijua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zahera ni kocha msaidizi huko team ya taifa Congo sasa as vita inamuhusu nn??
Au kwa kuwa kocha mkuu yuko as Vita??
Halafu simba wamshughulikie zahera wenyewe kama nani??

'ukitumia akili hupungukiwi kitu '
 
Acha Umbumbumbu....Manara keshakuharibu na wewe...

Manara ni mbumbumbu...Bahati mbaya hata mashabiki wa Simba ukiwemo wewe Manara amewaambukiza huo umbumbumbu..

Wakati Rayon Sports wamekuja kucheza na Yanga mechi ya Confederation Cup Kocha Msaidizi wa Masoud Djuma na Haruna Niyonzima walienda hotel waliyofikia Rayon sisi kama Yanga hatukuongea tuliona kitu cha kawaida tu...Eti utaifa...Mbona Clatous Chama aliwafunga Nkana na ni Wazambia wenzake...

Yanga walivoenda Algeria Msuva alienda kuwasalimu Kambini/hotel walikofikia hatukusikia upuuzi kama huu wa Manara...

Usimpangie Mwalimu Zahera nini afanye..Mradi tu hajavunja sheria za nchi...Akiamua kuondoka kwenda Congo sawa...Asipoondoka sawa..Btw, AS Vita ina wachezaji wengi katika Timu ya Taifa...What if Zahera akiamua kubaki kuwaangalia wanavocheza..Pia Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya DR Congo Florent Ibenge ndiye Kocha wa AS Vita..Kuna sababu gani ya Mwalimu Zahera kuwahi Congo ilhali Kocha Mkuu yuko Tanzania...Au kuna sheria zinamlazimisha Zahera kutokuwepo kwenye mechi ya Simba?...
 
Yaani mkuu mie mwenyewe nmejiuliza sana,Zahera kosa lake n lipi?,Sijui watu wengine hua wanafkria kwa kutumia nn!

Sent from Nokia 7 Plus
 
Mbumbumbu mama yako aliyekuzaa akakulea ukakosa matunzo mazuri ya kuelewa matumizi ya lugha kwa watu mbalimbali.

 
Nimegundua Watanzania wengi ni wajinga sana Timu ikufunge tano bila itafute mbinu wapi tena kipindi hiki ambacho mechi zote zipo hewani ukitaka unaiangalia waangaike na Zahera kwani ni mechi ya kwanza hiyo? Manara anawafanya kama wale waumini wa kibwetele kila ujinga anaoongea hamtumii akili kufikiri kuumiza vichwa vyenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…