Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nipo pamoja na Zahera pia As Vita na Wacongò watakaokuja kèsho uwanjani
Bana Congo
Bana Congo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mvumilivu tu ndugu yangu hii nchi kuna watu wana vipande vya mawe wanaita vichwa hata kama yasingekuwepo majukumu ya kitaifa bado Zahera ana haki zote za kuongea na Ibenge maana wanafanya kazi pamoja na bado ana haki ya kwenda kuwasalimia Vital maana ni ndugu zake kama Simba imeona njia ya kushinda inapotea wasitafute mchawi pumbavu kabisaKocha wa As Vita ni kocha mkuu wa timu ya taifa LA Congo, yupo nchini. Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.
Yaani asiende wakabadilishane mawazo na kocha mkuu kisa Simba? Acha upopoma.
Barafu la moto
Hapana kwa kauli za Manara na baadhi ya mashabiki wa simba na kama kesho mtapoteza mechi ana sababu kamili za kuondoka nchini maana kiuhalisia atakuwa kwenye hali ya hatariHuyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza
Acha jabza.Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Na ni kwanini mashabiki wa simba wamfanyie vitimbi kocha wa Yanga?Huyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza
Dalili za kutoka mtu utazijua tu.Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Acha Umbumbumbu....Manara keshakuharibu na wewe...Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo barafu lako la moto kesho jua linawaka hadi saa sita usiku lazima liyeyuke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnamlipa kwa hela gani mliyokua nayo, ombaomba nyinyi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani mkuu mie mwenyewe nmejiuliza sana,Zahera kosa lake n lipi?,Sijui watu wengine hua wanafkria kwa kutumia nn!Hivi mashabiki wa simba akili mmekalia au vipi? Hivi Zahera kosa lake nn? Suala la kuonana na ndugu zake ni kosa? Mbona bado mna mambo ya kizamani sana. Au zahera anacheza? Shida yenu mnaamini sana uchawi sasa mnadhani zahera atavujisha siri.
Mechi za yanga mbona nyi mnaweka mikono yenu na hatusemi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Umbumbumbu....Manara keshakuharibu na wewe...
Manara ni mbumbumbu...Bahati mbaya hata mashabiki wa Simba ukiwemo wewe Manara amewaambukiza huo umbumbumbu..
Wakati Rayon Sports wamekuja kucheza na Yanga mechi ya Confederation Cup Kocha Msaidizi wa Masoud Djuma na Haruna Niyonzima walienda hotel waliyofikia Rayon sisi kama Yanga hatukuongea tuliona kitu cha kawaida tu...Eti utaifa...Mbona Clatous Chama aliwafunga Nkana na ni Wazambia wenzake...
Yanga walivoenda Algeria Msuva alienda kuwasalimu Kambini/hotel walikofikia hatukusikia upuuzi kama huu wa Manara...
Usimpangie Mwalimu Zahera nini afanye..Mradi tu hajavunja sheria za nchi...Akiamua kuondoka kwenda Congo sawa...Asipoondoka sawa..Btw, AS Vita ina wachezaji wengi katika Timu ya Taifa...What if Zahera akiamua kubaki kuwaangalia wanavocheza..Pia Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya DR Congo Florent Ibenge ndiye Kocha wa AS Vita..Kuna sababu gani ya Mwalimu Zahera kuwahi Congo ilhali Kocha Mkuu yuko Tanzania...Au kuna sheria zinamlazimisha Zahera kutokuwepo kwenye mechi ya Simba?...
Hahah,we mzee una majibu ya kimataifa.Upe hadhi ya ukimbizi Basi