Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini?
Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia.
Lengo la kufunga barabara na kuambia watumishi wafanyie kazzi nyumbani ni kupunguza usumbufu siku hiyo au mnataka kuficha aibu kwa viongozi hao wanaokuja ilo wasione huduma mbovu tulizonazo nchini, na kuacha sekta binafsi ambayo tunajua iko vizuri na haduma zao hazina longo longo? Kama lengo ni kupunguza usumbufu kesho na keshokutwa iwe public holiday.
Kwenye hili naashumu wanafunzi pia hawataenda shule upande wa serikali. Kwanini wa binafsi waende, maana kama ni usumbufu nao utawagusa ukizangatia baadhi ya barabara zinafungwa.
Kuepusha hayo yote serikali itangaze kesho na keshokutwa kuwa siku za mapumziko isipokuwa kwa kada zile ambazo kazi haziwezi kusimama kama Afya na vyombo vya usalama. Wengine wapunge upepo majumbani mwao.