Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

Huu ugeni una manufaa yapi kwetu? Hadi tunawakirimu kwa kiwango kikubwa hivi? Wageni wamekuja na nini kwani?
 
Umesoma vizuri? Ilikuwa watumishi wa umma, halafu wakaacha wanafunzi, tangazo la wanafunzi ndio limetoka muda si mrefu, hapo na binafsi kote wameguswa
Sasa moja ya watumishi wa Umma walikuwa ni walimu maana hawakuguswa na Exeptional Iliyotoka..

Sasa kama walimu hawaendi Kazini Mwanafunzi alikuwa anaenda Shule kufanya nini Kuna wakati Logic ni Muhimu sana Ili kujenga facts
 
Back
Top Bottom