Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaumia ukiwa wapi vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaumia ukiwa wapi vile?
Umeambiwa kuwa hapa JamiiiForums hawapo? Kuna Intellectual au Great Thinker yoyote ambaye ama hayupo hapa au huwa hachungulii hapa?Mkuu ni vyema ukapeleka shauri lako Takukuru ili wakusaidie,Humu JF hutapata kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya tangulia wewe kushitaki umesubili nini, unao ushahidi gani usiokuwa na shaka kuwa gsm wanahonga timu, mbona sportpesa wamedhamini vilabu vyote pamoja na nyie kwanini amkukataa kwakuwa tarimba abbas ni mwanachama wa yanga Ina maana na nyie mlikuwa mnahongwa ili muiachie yanga ndo maana uwa mnaburuzwa kila mkikutana, unapokosa hoja kaa kimya ficha ujinga wako usifikiri kila mtu apa ni poyoyo Kama wewe unaedandia treni kwa mbele unacopy hoja mfu za akina dauda uko unaleta apa, Kama ni kosa gsm kuidhamini coastal union tff yenu si ingewazuia? Kwani mkataba ulisainiwa kwa kificho, amuelewi ata ilikuwaje mpaka gsm ikaidhamini coastal union mnapayuka tu Kama mmekatika vichwa, labda tu niwajuze ambao wanaunga tela kwenye vitu wasivyovijua, usajili wa bakari nondo mwamnyeto moja ya makubaliano ya kimkataba Kati ya yanga na coastal union ni gsm kuidhamini coastal union ikiwa ni kipengele ktk mkataba ule, pamoja na fedha zilizotolewa kwenye usajili, hivyo basi amuwezi kuwapangia wenye timu yao cha kufanya, Na nyie si mlikuwepo na hao coast si tawi lenu kwanini amkwenda nyie kuwadhamini kupitia viberiti vyenu na sabuni zenu? Mlizuiwa, Gsm ni mfanyabishara Kama alivyo mo, awezi kuacha fursa anayoona itamwingizia faida kibiashara eti kwasababu tu kuna wajinga fulani ambao wanatafuta pa kufia na timu yao inayoishi kwa matumaini watasema, alafu cha kujiuliza kwanini gsm alalamikiwe sasa hivi wakati yanga inafanya vizuri, kwanini msimu ulioisha sikusikia izi ngonjera? Kwani namungo na cost wamedhaminiwa jana au juzi, Kabla amjapandisha uzi apa muwe mnashirikisha ubongo kwanza msiwe mnajidhalilisha aiseeGSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Uandishi wako tu huu hapa ni Uthibitisho tosha pasi na Shaka kuwa achilia mbali kuwa una Upumbavu mwingi lakini pia una tatizo la Kuugua Uwendawazimu.Aya tangulia wewe kushitaki umesubili nini, unao ushahidi gani usiokuwa na shaka kuwa gsm wanahonga timu, mbona sportpesa wamedhamini vilabu vyote pamoja na nyie kwanini amkukataa kwakuwa tarimba abbas ni mwanachama wa yanga Ina maana na nyie mlikuwa mnahongwa ili muiachie yanga ndo maana uwa mnaburuzwa kila mkikutana, unapokosa hoja kaa kimya ficha ujinga wako usifikiri kila mtu apa ni poyoyo Kama wewe unaedandia treni kwa mbele unacopy hoja mfu za akina dauda uko unaleta apa, Kama ni kosa gsm kuidhamini coastal union tff yenu si ingewazuia? Kwani mkataba ulisainiwa kwa kificho, amuelewi ata ilikuwaje mpaka gsm ikaidhamini coastal union mnapayuka tu Kama mmekatika vichwa, labda tu niwajuze ambao wanaunga tela kwenye vitu wasivyovijua, usajili wa bakari nondo mwamnyeto moja ya makubaliano ya kimkataba Kati ya yanga na coastal union ni gsm kuidhamini coastal union ikiwa ni kipengele ktk mkataba ule, pamoja na fedha zilizotolewa kwenye usajili, hivyo basi amuwezi kuwapangia wenye timu yao cha kufanya, Na nyie si mlikuwepo na hao coast si tawi lenu kwanini amkwenda nyie kuwadhamini kupitia viberiti vyenu na sabuni zenu? Mlizuiwa, Gsm ni mfanyabishara Kama alivyo mo, awezi kuacha fursa anayoona itamwingizia faida kibiashara eti kwasababu tu kuna wajinga fulani ambao wanatafuta pa kufia na timu yao inayoishi kwa matumaini watasema, alafu cha kujiuliza kwanini gsm alalamikiwe sasa hivi wakati yanga inafanya vizuri, kwanini msimu ulioisha sikusikia izi ngonjera? Kwani namungo na cost wamedhaminiwa jana au juzi, Kabla amjapandisha uzi apa muwe mnashirikisha ubongo kwanza msiwe mnajidhalilisha aisee
Mo safi alizamini namungo na alikua anawekwa kwenye jeziMo alidhamini Namungo kwa bidhaa gani ?
Kama Mo msimu uliopita alifanya makosa unataka kuhalalisha makosa ya GSM kupitia makosa ya Mo ?
Sisi tunataka fair competition badala hii ya sasa unaenda kununua vilabu karibu vyote vya ligi kuu na vikicheza na hasimu wako unaahidi million 10 ili iweje ?
Tengenezeni timu yenu acheni upumbafu wa ushabiki oya oya, la sivyo mtaendelea kugongeshwa mpaka mtakapoukubali ukweli, jikiteni kwenye masuala ya kiufundi na sio kwenye umbea na udaku avitowasaidia kitu, unauza wachezaji 2 classic unanunua 12 wakati timu aiitaji marekebisho makubwa kiasi icho unakuwa unategemea nini kitachofata? Na hao 12 viwango vyao ni vya kawaida alafu unajitokeza unanyanyua mdomo eti gsm anahonga, kahonge na wewe kama unaweza, Na uyo gsm aliwahonga na jwaneng galax kwakuwa anawadhamini wakawapa kichapo nyumbani kwenuUandishi wako tu huu hapa ni Uthibitisho tosha pasi na Shaka kuwa achilia mbali kuwa una Upumbavu mwingi lakini pia una tatizo la Kuugua Uwendawazimu.
Msukule kawapa mbinu ya kuchukua ubingwa.
Msukule alisema "Ninajua mbinu zao zote". 😂😂Msukule kawapa mbinu ya kuchukua ubingwa.
😂😂😂😂😂Mkuu ni vyema ukapeleka shauri lako Takukuru ili wakusaidie,Humu JF hutapata kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo Mjanja Sana! Aliuza wakina chama na Miqquisone ili kufika mada ya Bilion 20.Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin
RubbishGSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Maskini Haswaaaaa. Ya pili kutoka chiniTatizo ni njaa kali
TFF njaa
Takukuru njaa
Serikali njaa/Omba omba
Vilabu njaa
Wanasiasa njaa
Marefa njaa
Wachambuzi njaa
Mashabiki njaa
Nchi hii maskini jameni.
We jamaa akili yako ndogo sana.GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
azam ni mzamini wa FA na timu yake ipo ktk ligi io hio ujaona ila macho yako yapo kwa GSM tuGSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.

hapo umemaliza kwa uyo koloWe jamaa akili yako ndogo sana.
Azam kaweka bilioni zaidi ya 200,na ana timu yake kwenye ligi,huyu tusemaje!?
SportPesa yupo Simba na Yanga,nadhani na Namungo,enhee,tusemaje!?
GSM yupo Yanga,Coastal na Namungo,unasemaje!?
Huo ni udhamini,siyo Umiliki. GSM anamiliki club gani hapa nchini!?
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo hata kwa Sheria za FIFA na za FAIR COMPETITION si tu hazikubaliki bali hazitakiwi pia.
GSM sasa tena kwa kufanya Kimya Kimya / kwa Siri wameamua Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu yaani NBC PREMIER LEAGUE ili zikiwa zinacheza na Yanga SC yao ipate Unafuu wa Ushindi ila Vilabu hivyo vikiwa vinacheza na Wapinzani wao wakubwa Simba SC viwe vinaikazia kwa ama Kuifunga au hata tu kutoka nayo Sare.
Kinachonisikitisha zaidi Uhuni na Upumbavu huu usio na Haki katika Ushindani Michezoni unafanywa na GSM halafu Serikali kupitia Wizara ya Michezo imekaa Kimya, TFF na Bodi ya Ligi wamekaa Kimya na Wahusika Wakuu wa Kupambana na Kuzuia Rushwa na Dalili zake zote TAKUKURU wamekaa Kimya.
Akitokea tu Mtu Mmoja au Klabu Moja ikajipanga vyema kwa Sheria na Ushahidi wa Kutosha juu ya Uhuni na Upumbavu huu wa GSM katika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kwa nia ya kupata Unafuu ikicheza nazo na akaenda Kushtaki FIFA kuna uwezekano mkubwa NBC Premier League ikaingia matatizoni, Klabu Moja kubwa Kufungiwa, huyu Mdhamini wao Mkuu GSM Kushtakiwa na hata Mpira wa Tanzania Kuharibika rasmi.
Hakuna Mfanyabiashara Mstaarabu na Muungwana Tanzania hii kama Mzee Bakhressa na Kampuni yake ya Azam. Na hakuna pia Kampuni ambayo ni Tajiri Tanzania nzima kama ya Azam.
Azam Wana Timu yao ya Azam FC ila kwa miaka Saba sasa wanapambana Kuwa Mabingwa ila bado hawajafanikiwa. Lakini sijawahi ama Kuona au Kusikia mahala popote pale Azam wakizihonga Timu mbalimbali za Ligi Kuu ya Tanzania ili ziiachie na iwe Bingwa japo ina uwezo wa Kifedha maradufu ya hawa Matapeli wa GSM ila wameamua Kupambana kwa Kucheza tu Uwanjani.
Kama GSM kweli walikuwa na nia ya Kuvidhamini Vilabu vya Ligi Kuu ya Tanzania NBC PREMIER LEAGUE walikuwa wapi Kujitokeza pale TFF na Bodi ya Ligi walipokuwa wanatafuta Wadhamini?
Hivi leo hii Mo Dewji na Kampuni yake / Kampuni zake angeamua nae Kufanya Uhuni na Upumbavu huu usio wa Haki unaofanywa na GSM kwa Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu tena Kisirisiri / Kimya Kimya na kuwaambia wawe wanaikamia tu Yanga SC ila zikiwa zinacheza na Simba SC wawe wanailegezea FAIR COMPETITION ingekuwepo?
Sasa kama unatamba kuwa na Kikosi kizuri na unasema msimu huu Kombe ni lako kwa Soka Kubwa unalocheza kwanini unahangaika Kuvidhamini Vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu kisha unavipa Ahadi ya Tsh Milioni 15 vikiishinda Simba SC na Tsh Milioni 10 vikitoka nayo Sare mpaka unasababisha Wachezaji wa hizo Timu Kuikamia Simba SC, Kuwaumiza kwa Makusudi Wachezaji wake na pale Wakifungwa baada ya Filimbi ya mwisho badala ya kuondoka Uwanjani wanaanza Kuangua Vilio, Kugombana na Kulaumiana mno?
GSM wameshaiharibu Ligi Kuu ya NBC.
Mbona ligi inadhaminiwa na Azam pia hiyo hiyo Azam inateam yake mbona Hili hawajalitolea povuMpaka wanaboa, sasa huyo gsm ko ye kila mechi yake na simba lazma milioni 10 hadi 15 zimtoke?? Wana mawazo ya kipuuzi sana na sio ya kishindani.
Aliye anzisha michezo hii ni makonda kwa kuwapa kmc m20 waifunge yanga na wala hukuwahi sikia yanga kulalamika ki mama mama hiviMpaka wanaboa, sasa huyo gsm ko ye kila mechi yake na simba lazma milioni 10 hadi 15 zimtoke?? Wana mawazo ya kipuuzi sana na sio ya kishindani.