Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

Aya tangulia wewe kushitaki umesubili nini, unao ushahidi gani usiokuwa na shaka kuwa gsm wanahonga timu, mbona sportpesa wamedhamini vilabu vyote pamoja na nyie kwanini amkukataa kwakuwa tarimba abbas ni mwanachama wa yanga Ina maana na nyie mlikuwa mnahongwa ili muiachie yanga ndo maana uwa mnaburuzwa kila mkikutana, unapokosa hoja kaa kimya ficha ujinga wako usifikiri kila mtu apa ni poyoyo Kama wewe unaedandia treni kwa mbele unacopy hoja mfu za akina dauda uko unaleta apa, Kama ni kosa gsm kuidhamini coastal union tff yenu si ingewazuia? Kwani mkataba ulisainiwa kwa kificho, amuelewi ata ilikuwaje mpaka gsm ikaidhamini coastal union mnapayuka tu Kama mmekatika vichwa, labda tu niwajuze ambao wanaunga tela kwenye vitu wasivyovijua, usajili wa bakari nondo mwamnyeto moja ya makubaliano ya kimkataba Kati ya yanga na coastal union ni gsm kuidhamini coastal union ikiwa ni kipengele ktk mkataba ule, pamoja na fedha zilizotolewa kwenye usajili, hivyo basi amuwezi kuwapangia wenye timu yao cha kufanya, Na nyie si mlikuwepo na hao coast si tawi lenu kwanini amkwenda nyie kuwadhamini kupitia viberiti vyenu na sabuni zenu? Mlizuiwa, Gsm ni mfanyabishara Kama alivyo mo, awezi kuacha fursa anayoona itamwingizia faida kibiashara eti kwasababu tu kuna wajinga fulani ambao wanatafuta pa kufia na timu yao inayoishi kwa matumaini watasema, alafu cha kujiuliza kwanini gsm alalamikiwe sasa hivi wakati yanga inafanya vizuri, kwanini msimu ulioisha sikusikia izi ngonjera? Kwani namungo na cost wamedhaminiwa jana au juzi, Kabla amjapandisha uzi apa muwe mnashirikisha ubongo kwanza msiwe mnajidhalilisha aisee
 
Uandishi wako tu huu hapa ni Uthibitisho tosha pasi na Shaka kuwa achilia mbali kuwa una Upumbavu mwingi lakini pia una tatizo la Kuugua Uwendawazimu.
 
Mo safi alizamini namungo na alikua anawekwa kwenye jezi

Kama una ushahidi wa kununuliwa vilabu vingine peleka mahala husika ukafanyiwe kazi hapa unapiga porojo tu
 
Uandishi wako tu huu hapa ni Uthibitisho tosha pasi na Shaka kuwa achilia mbali kuwa una Upumbavu mwingi lakini pia una tatizo la Kuugua Uwendawazimu.
Tengenezeni timu yenu acheni upumbafu wa ushabiki oya oya, la sivyo mtaendelea kugongeshwa mpaka mtakapoukubali ukweli, jikiteni kwenye masuala ya kiufundi na sio kwenye umbea na udaku avitowasaidia kitu, unauza wachezaji 2 classic unanunua 12 wakati timu aiitaji marekebisho makubwa kiasi icho unakuwa unategemea nini kitachofata? Na hao 12 viwango vyao ni vya kawaida alafu unajitokeza unanyanyua mdomo eti gsm anahonga, kahonge na wewe kama unaweza, Na uyo gsm aliwahonga na jwaneng galax kwakuwa anawadhamini wakawapa kichapo nyumbani kwenu
 
Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin
Mo Mjanja Sana! Aliuza wakina chama na Miqquisone ili kufika mada ya Bilion 20.
 
Rubbish
 
Ndugu zangu wanzania napenda kuwahakikishia kuwa katika msimu ambao GENTAMYCINE atateseka yeye na familia yake basi ni msimu huu.

Kuna uwezekano mkubwa tukampoteza mtu kwa kupotezwa na STRESS.Fikiria ni mechi tano tu ila ashafungua ID zaidi ya tatu je mpka mwisho wa msimu atakuwa na ID ngapi??🤣🤣🤣🤣.

Mahakama si zipo kwa ajili ya watu kama nyie??kwann usiende?

Unaleta UPOPOMA wako humu ukidhani kuna mtu atakuonea huruma?(Dunia haina huruma).

Itakuchukua mda sana kuelewa umri sahihi wa wachezaji wako kwa sababu ya IQ yako ndogo.

Yanga ipo na inaua.Vaa Barakoa na tumia Sanitizer.
 
We jamaa akili yako ndogo sana.

Azam kaweka bilioni zaidi ya 200,na ana timu yake kwenye ligi,huyu tusemaje!?

SportPesa yupo Simba na Yanga,nadhani na Namungo,enhee,tusemaje!?

GSM yupo Yanga,Coastal na Namungo,unasemaje!?

Huo ni udhamini,siyo Umiliki. GSM anamiliki club gani hapa nchini!?
 
azam ni mzamini wa FA na timu yake ipo ktk ligi io hio ujaona ila macho yako yapo kwa GSM tu
 
hapo umemaliza kwa uyo kolo
 
Moja ya uzi wa kipumbavu sana

Ko unataka tuambia miaka mi 4 nyuma simba akichukua ubingwa kwa kuwa alikuwa Ana achiwa na timu nyingine

Sasa hivi gsm kawapa fedha hivyo wanamkazia simba (maana yeye alikuwa aliwapa wamwachie )

Nafikiri ungewashauri pia TFF kufatilia kwa nini kwa miaka mi 4 hizi timu zilikuwa hazikazi mechi ya simba (walikuwa wanapewa nini)
 

Acha upumbafu kwa hiyo ile misimu mi4 Simba anachukuwa ubingwa Mo alikuwa anafanya mbinu kama izo unazoleta za kutunga tunga mara ngapi timu zilikuwa zinawakazia Yanga ukisema ivo hata Simba inanunuliwa na Gsm maana ufunguzi tu Yanga kapata ushindi akimfunga Simba 1-0 na ilikuwa rahisi maana Yanga walicheza mpira mzuri kuliko misimu mingine kwa hiyo kubali tu hakuna mipango ya kipuuzi kama unayojitungia wewe Yanga wako vizuri kwa sasa kama una bisha endelea kuwadanganya wenzio[emoji16][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…