Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

Ivi yule maregemu c ndo alikua mdhamini mkubwa wa Lipuli na pia alikua kiongozi mkubwa wa makolo fc mbona walikua wanashangilia sana wanavo wakazia yanga ila wao wakienda wanajipigia 3... halafu wambieni waache roho mbaya timu za tz shida kubwa uzamin timu zimepata mdhamini hawataki wao wamejaza wadhani kibao Mo9 Moxtra Mo foundation Mo'juicy Mo'chungwa mo'soda na nyingine malizia huko sijui Mo'babra sijui c mpunguze hawa waendw wakadhamini tumu nyingine huko. Kama udhamini ni ushindi Simba ina wadhamini wengiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mbali na unazi hili jambo litazamwe

View attachment 1999120

Nashauri...Simba Ina Viongozi,Wanasheria,
Watafute Ushahidi Usiotia shaka Sio wa Meneno Maneno...Ushahidi wa Maandishi na Kimazingira,Waanzie TFF Kwanza,Then Mbele,Unasema Takukuru??Haha Yangaa ni serekalii hawawezi fanywa Chochote,Kama TFF ikishindwa wahakikishe wanapata Baraka za TFF ili Wapeleke CAS[emoji3516][emoji91][emoji41]
 
Ama kweli aliyekuita Rais wapumba u hakukosea, haya Anza kukusanya ushahidi uende FIFA.
 
Kuna tofauti kubwa Sana Kati yenu na mashabiki wa Yanga kuhusu matumizi ya akili?
 
Dalili za kukataa hizi, wakati sisi tunasajili kina Aucho na Bangala nyie mnasajili yule mkimbizi na vitoto vya shule! Msimu huu mtalia sana!
 
Achana na wapumbavu Wala wasikupotezee muda wako mkuu
 
Mkuu mpumbavu kumuelewesha huwezi, endelea na majukumu yko achana na wapumbavu
 
Tukubaliane simba imepoteza nguvu kubwa sana kuanzia kwenye benchi la ufundi hadi uwanjani.....mambo ya sijui wanalipwa wakamie ni visingizio ambavyo havina mantiki yoyote

Kwahiyo Yanga wakianza kupoteza game mfululizo tuseme, Simba wameweka dau kubwa kuliko Yanga?
 
Kombe lenyewe na Fedha anazopewe bingwa thamani ya Ni milioni 70,

au wewe ulikuwa hujui?
 
Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin

Hawa mbumbumbu/Mikia/Bodaboda mbona vichwa vyao vimejaa maji Rage kuwaita mbumbumbu ni haki kabisa hivi mtu kama una akili timamu unaweza kuposti utumbo huu wale Makirikiri walihingwa na nani kubali tu kwamba timu yenu imejaa wahanga hivi wewe unataka wakuachie tu ufunge wasikukabe umebebwa mwaka mzima wa jana vumulia tu utazidi kubaniwa tu
 
Mbona ligi inadhaminiwa na Azam pia hiyo hiyo Azam inateam yake mbona Hili hawajalitolea povu
Mfa maji haishi kutapatapa mkuu, wakubali wakatae timu yao haiko sawa kwa sasa sijui kwann hawataki kulikubali hilo badala yake wanawaangushia zigo la lawama yanga.
 
Bwege ww, sijui unalialia nn hapa, mpira Hamna mwaka huu unataka uchukuwe ligi kana kwamba mnafungwa na kutoa draw kibao..!!! Kombe si la mamaako kwamba utalilia ukapewa.. Chezeni mpira si kuleta nyokonyoko zisizokuwa na msingi..
Me nawachana live, sina mda wa kupepesa mdomo wala macho ukimaindi kanyonye kwa mamaako
 
Mtoa mada nadhani hujafanya uchunguzi wa kutosha
Mwaka jana msimu uliopita MO Dewji alikuwa mzamini wa Namungo FC kupitia mafuta ya Safi angalia upende wa kushoto mwa jezi ya Namungo Mo Safi wakati Mo ni mwekezaji katika klabu ya Simba happy vipi mbona hamkusema chochote

 
Hao kenge unafikiri wanayo kumbukumbu wamebaki kukurupuka tu na ajenda za kipuuzi baada ya kuona maji yanazidi unga, kusajili usajili wachezaji wa laki laki alafu lawama uanze kuwatupia waliosajili vizuri iyo ni akili ya wachawi tu, Mwamed alishachukua ela yake akakaa pembeni akaenda kuokota wachezaji 12 na nyongeza juu, unategemea nini apo Kama sio kuugua ugonjwa wa sonona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…