JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Wazazi wengi wanachotaka ni "kufaulu" Kwa, watoto wait ma A kibao, na kamserereko ni huko kwenye masomo ya dini,View attachment 2940565Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia
Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha nyuma taifa letu na kuleta mkanganyiko hizo elimu zitolewee miskitini na makanisani full stop visiweke kwenye mifumo rasimi ya kiserikali
Naandika haya najua madhara ya serikali kuanza kuweka vitu vya kidini kwenye mifumo rasmi ya serikali
Sasa mfano wakristo wana madhebu mengi mno walokole waroman wapentecoste ...haya waislam kuna shia kuna suni ....mtaafundishaje maana haya madhehebu huwa yanatofautiana kwenye mambo mbali mbali kama sio kuleta fujo na mikanganyiko
Hao walimu watalipwa na nani yaani serikali ilipe walimu wa dini kama kweli ndo tumefikia huku tena katika elimu ya advance watoto narudia wasome hizo elimu huko makanisani au misikitini na madrassa ....
Naamini raisi ajae ataliangalia hili labda huyu wa sasa kaona sawa.....tunaomba rais atakae kuja atoe haya madude sijui divinity/ukristo sijui islamic knowledge hayana umuhimu wa taifa ambalo liko nyuma kisayansi na kiteknlogy mnazidi kulipoteza taifa kuleta mambo imani kwenye ulimwengu wa elimu serious zinahitaji fact sio imani .... fact ni muhimu kuliko imani ndo maana wazungu wanatupita maana wanaamini katika fact sio imani......sasa sisi imani ndo tunataka kabisa iwe elimu rasmi ni uzwazwa...
TANZANIA SIO NCHI YA KIDINI NA HAIRUSIWA HATA KUONESHA DALILI HIZO NI HATARI MNO KUWEKA MASWALA YA DINI SERIKALI
Eti necta nao wako busy watunge mitihani sijui yesu alifanya nini mara sijui mtume alifanya nini ...
Tuiheshimu tanzania hasa tanganyika mambo ya dini hatutaki toeni....kama upande wa pili znz watapenda muwakeeni ila tanganyika haiwezi jengwa kamwe na mifumo hii mnayoleta TANGANYIKA TUNATAKA WATOTO WAWE BUSY NA ELIMU DUNIA ZAIDI.....
SIJUI MAKAMBA SIJUI MAKONDA SIJUI RIDHIWAN AU YEYOTE ATAYEKUJA KUWA RAIS BAADa ya mama samia atoe haya madini kwenye elimu rasmi hayana tija kwa taifa ... taifa linahitaji sana kuendelea upande wa elimu dunia...... sio elimu ahera .....
View attachment 2940566
Mtoto atapata ma D matupu,lakini mashekh na maustadh watampa As tupu kwenye islamic knowledge! Hakuna wakupinga! Huyooo anapata mkopo akachezee, sasa unasoma bible knowledge, au islamic Studies, unataka kuwa mchungaji au shekh wa msikiti!?
Yaani upoteze miaka minne ya chuo kusomea dini?!
Kuna mchepuo serikali imecheza kama Pele,
Zamani tulikuwa na PCM, physics chemistry na maths, sasa kutwkuwa na PMC, physics, maths, na computer studies, hii safi Sana, ila tungeweka zaidi masomo ya IT, kilimo, political sayansi,