Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

Wazazi wengi wanachotaka ni "kufaulu" Kwa, watoto wait ma A kibao, na kamserereko ni huko kwenye masomo ya dini,

Mtoto atapata ma D matupu,lakini mashekh na maustadh watampa As tupu kwenye islamic knowledge! Hakuna wakupinga! Huyooo anapata mkopo akachezee, sasa unasoma bible knowledge, au islamic Studies, unataka kuwa mchungaji au shekh wa msikiti!?

Yaani upoteze miaka minne ya chuo kusomea dini?!
Kuna mchepuo serikali imecheza kama Pele,

Zamani tulikuwa na PCM, physics chemistry na maths, sasa kutwkuwa na PMC, physics, maths, na computer studies, hii safi Sana, ila tungeweka zaidi masomo ya IT, kilimo, political sayansi,
 
Kama elimu ya dini Basi isibague dini tofauti. Isomwe kama religious studies na sio uislam, ubudha au Christianity
 
Wakati wenzetu wa Saudi wakiongeza elimu ya kufanya ng'ombe wa wamaziwa kuishi jangwani na kuleta mfumo wa mvua sisi Huku shemeji anamfurahisha mama mkwe
 
Hii nchi nahisi imelaaniwa kwa kutokuwa na viongozi wasio na akili kwa kweli. Hivi somo la dini za Watu zisizo tuhusu sie Watanzania zinamsaidia nini mtoto au hata Tanzania tu? Yani viongozi wetu maka leo hii hawajuwi kuwaití dini hihi za Watu ndizo zinafanya Watoto wetu kiwa wajinga? Kama picha hapo juu inavyojionyesha, wenzao wako bizę kwenye sayansi się wanetu wanakariri Qur'an na kujifunza ujinga na wengine wanahubiri vitu wasivyovijuwa kwenye vituo vya madaladala. Kwa kweli CCM has failed this nation.
 
Kuna uislam na ukristo. Hayo mambo ya madhehebu yapo ndani ya dini hizo.kikubwa watoto wamjue mungu na wawe na hours ya mungu. Tusije kuwa na kizazi kibaya
Kwahiyo kwa akili yako unadhani dini ni 2 tu? What about Budhist? Sickhism, Hinduism, African Religions? Au unadhani hawa waamini hawapo na pia wao wangependa wapate masomo juu ya dini zao. Huu Ukristo na Uislam ni kujenga matabaka yasiyo na msingi na sio muhimu. Taasisi za kidini zijitegemee kwa mifumo yao ya kielimu
 
Wewe ni mjumbe wa shetani.
 
Serikali inahitajika kuwekeza zaidi kwenye elimu za kisayansi kwa maendeleo zaidi ya nchi sio kwenye hizi elimu zinazoleta matabaka kwenye jamii by default hizi dini zililetwa huku Africa ili kurahisisha unyonyaji nashaangaa wenye mamlaka kuendekeza upumbavu Kama huu hawaoni nchi zingine zinazojitahidi kwenye Sayansi na teknolojia
 
Wanataka kutufundishia watoto wetu ule ugaidi wa Somalia na Nigeria kwa vitendo madarasani ili waelewe zaidi.

TUnachokitafuta tutakipata.
 
Hizo ulizotaja. Ni dini za wapi?
 
Madrasa ina kazi gani?
 
Ukiuliza hivyo.na uulize kwanini watu wanakwenda chuo kikuu wakati kuna shule ya msingi na sekondari zingetosha.
Hujajibu swali madrasa ina fanya kazi gani? Unajua kwamba kila elimu ni muhimu kwa mlengo wa jamii husika?
Vipi kama elimu ya uchawi na yenyewe ikiwekwa kwenye mtahala wa elimu? Unajua maana ya katiba ya nchi kutokufungamanisha masuala ya kidini katika nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…