Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Hata kama magari ya nyumbu yapo matano, lakini ni yetu.Kiwanda cha nyumbu tangu kiumbwe kimeshatengeneza magari mangapi?
Unaeza ukakuta labda wameshatengeneza labda magari 20.
Sasa magari 20 uyapeleke Festival? Hiyo itakua Festival ama jogging???
Landrover ni za beberu na mkoloni mwingereza.
Sasa baada ya landrover kitakachofuata ni land cruiser festival? Maana nazo ni nyingi huko mbugani na kwingineko.