A
Anonymous
Guest
Serikali tunaomba itusaidie MUHAS!
Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Hivyo wakati mwingine wanakuwa wanabanwa na mwajiri wao hivyo tunasoma kwa shida.
Wenzetu wa fani ya fiziotherapia wana wakufunzi wa kutosha. Sisi wakufunzi hakuna na vitabu vya rejea hakuna na mratibu wa hii programu sio mtaalamu wa kada husika.
Tunaomba serikali iajiri wakufunzi wa kada hii na tupatiwe vitabu vya rejea ili tuweze kujisomea kwa ufanisi.