Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Sie tuliimbishwa nyimbo ya taifa sema jamaa ni mtu wa kigoma alivyotaka kunipigisha sasa push up akajiroga akaniuliza wewe mtu wa wapi nikwambia kigoma akaniuliza tena sehemu gani basi skufanya kosa nikamwambia ni mjukuu wa fulani,mzee ambae ni mwanga mkubwa kigomaKuna siku nilikatiza kule enzi za Jiwe, tulirushwa kichura chura kutoka hapa hapa mwanzo feri mpaka huku hospitali ya ocean road.
wale mbwa sitawasahau.
By the way Ikulu rasmi ya nchi ni Dodoma.Wasaalam wanabodi,
Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu.
Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote.
Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko yetu kama zamani.
Ahsante sana!!
Tulisha sema ikulu ya dar iondolewe ilo eneo inazuia ukuaji wa mji hata kujenga gorofa refu wanazuia kwa sababu za kipumbavu za ikulu kuonekana kwa juuKuna siku nilikatiza kule enzi za Jiwe, tulirushwa kichura chura kutoka hapa hapa mwanzo feri mpaka huku hospitali ya ocean road.
wale mbwa sitawasahau.
Halafu sasa hivi Rais yuko Dodoma.Wasaalam wanabodi,
Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu.
Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote.
Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko yetu kama zamani.
Ahsante sana!!
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna siku nilikatiza kule enzi za Jiwe, tulirushwa kichura chura kutoka hapa hapa mwanzo feri mpaka huku hospitali ya ocean road.
wale mbwa sitawasahau.
Na bado wanakufaMiaka iliyopita tulikuwa tunawapokea marais kupitia geti la baharini. Hakukuwa na mbwembwe kama hizi za sasa.
Marais walikuwa ni watu wa kujishusha wanaoingilika tofauti na hawa wanaolindwa mpaka na helikopta juu.
Hivi whitehouse unaijua au una ambiwa? Yaani nyinyi vipi! Unalinganisha Tanzania na USA? Unafikiri Whitehouse hailindwi hata kidogo! Ghrama zinazotumika kulinda Whitehouse ni budget ya miaka mingi ya Tanzania. Kuna lindwa na satellite na vifaa vingi advanced! Unaweza ukakuta unapoingia au kupita karibu unachunguzwa hadi ndani ya utumbo wako bila kujielewa! Sasa hayo ndiyo Unalinganisha na kwetu, technology wanayo tumia ni aibu ukijua wanachokufanyia!Uoga tu eti hata picha huruhusiwi, wakati White House watu wanaingia
Tz hamna technology ya kulinda White House?Hivi whitehouse unaijua au una ambiwa? Yaani nyinyi vipi! Unalinganisha Tanzania na USA? Unafikiri Whitehouse hailindwi hata kidogo! Ghrama zinazotumika kulinda Whitehouse ni budget ya miaka mingi ya Tanzania. Kuna lindwa na satellite na vifaa vingi advanced! Unaweza ukakuta unapoingia au kupita karibu unachunguzwa hadi ndani ya utumbo wako bila kujielewa! Sasa hayo ndiyo Unalinganisha na kwetu, technology wanayo tumia ni aibu ukijua wanachokufanyia!