wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Stupidity inatusumbua. Pia unaambiwa kule ulaya matajiri ndo wanatumia kuni kupikia na masikini wanatumia majiko ya umeme. Wanasema kuni ni gharama kuliko jiko la umeme. Kwa sababu wanaamini chakula ukikipikia kwenye kuni kina kua na virutubishi na radha nzuri kuliko umeme.Sasa hivi ulaya baada ya kupata athari kubwa zitokanazo na usasa wanarudi kwenye organic.. Sisi ndio kwanza tunautaka usasa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Lakini huku bongo mamtu bado yanangangania usasa. Leo hii kwa mama ntilie kuna chakula kitamu kuliko kwenda kula regency park hotel lakini still watu hawaelewi