Serikali tusaidieni kuondoa Magogo mabuchani

Sasa hivi ulaya baada ya kupata athari kubwa zitokanazo na usasa wanarudi kwenye organic.. Sisi ndio kwanza tunautaka usasa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Stupidity inatusumbua. Pia unaambiwa kule ulaya matajiri ndo wanatumia kuni kupikia na masikini wanatumia majiko ya umeme. Wanasema kuni ni gharama kuliko jiko la umeme. Kwa sababu wanaamini chakula ukikipikia kwenye kuni kina kua na virutubishi na radha nzuri kuliko umeme.
Lakini huku bongo mamtu bado yanangangania usasa. Leo hii kwa mama ntilie kuna chakula kitamu kuliko kwenda kula regency park hotel lakini still watu hawaelewi
 
Yale magogo hatari kiafya damu ya miaka nenda rudi huozeana kwenye gogo hivyo huwemo wadudu usioona kwa macho.

Dawa wananchi tuanze kususa kununua nyama yenye gogo na tuwaambie kabisa wenye hizo bucha
Serikali izifunge tu hizo bucha zenye magogo
Ha haaaaa we jamaaa haupo serious kabsa khaaa
 
Tuwaase waache kunuizia Basi ivyo vifaaa.
Manuwizo shekh hayaaambukizi walaji?
Sasa hivi ulaya baada ya kupata athari kubwa zitokanazo na usasa wanarudi kwenye organic.. Sisi ndio kwanza tunautaka usasa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji28
 
Kumbe zinatumia umeme tu? Vijijini je kusiko umeme?

Ukisema nichague kula chuma na kipande cha gogo chuma kina hadhi

Ni Sawa na wagonjwa wawili waliogongwa na magari mawili tofauti wakalazwa mmoja kagongwa na Volkswagen kobe na mwingine kagongwa na Mercedes Benz new model aliyegongwa na Mercedes Benz ana hadhi kubwa na ana haki ya kumtambia aliyegongwa na Volkswagen kobe kuwa low class
 
Watu wanaona ufahari tu nyama ikatwe na mashine wajione washua😅!!! Bucha ilikata nyama kwa gogo na shoka toka uko kinda na ulikula bila kelele leo una kikazi chako na unafuu wa maisha unadharau bucha linalokata nyama kwa shoka na gogo
Hatudharau, dunia inakwenda kasi nasi tusibaki nyuma. Mashine za kukatia zinarahishisha na kutoharibu ubora wa nyama. Mfano leo hii kulipia huduma nyingi kumerahisishwa, kuna haja ya kuukata usasa?
 
Zilizopo zinatumia umeme labda zije za manual zitatufaa
 
Tuwaase waache kunuizia Basi ivyo vifaaa.
Manuwizo shekh hayaaambukizi walaji?
Hayana athari za kwa mlaji ukiachana na yale mabucha ya washirikina.. Wanauza mizoga ya fisi na mbwa wewe unaona ni ng'ombe

Biashara ya nyama ni biashara ngumu kwakuwa inahusisha damu na kuondoa uhai
Kuna matambiko yasiyo na athari kwa ajili ya vitendea kazi buchani visiwageukie watenda kazi.. Lakini wengine hujiongeza na ushirikina ili kuvutia wateja...
Angalia mwisho wa wauza nyama wengi huishia kujinyonga au kuuliwa kwa silaha hasa kisu shoka na panga
 
Naunga mkono hoja.. Huu usasa unatuletea madhara na maradhi mengi bila kujua
Kuna bucha majuzi nilienda kununua nyama nilistaajabu kuona wanatumia zile kitchen board za plastic kukatia nyama mara kumi magogo sio plastic
 
Kuna mmoja arusha alimacharanga mke wake kisha kamfunik akaondoka mtoto baadae anaamka akawa anacheza mda mrfu nje ndio kulia lia mtoto naulizwa mam yupo wapi anajisema amelala ndio jirani waingie wmuulize mbona kulala mpka saa tatu wanakuta minofu tu maana sio kwa kucharangwa kule
 
Kuna bucha majuzi nilienda kununua nyama nilistaajabu kuona wanatumia zile kitchen board za plastic kukatia nyama mara kumi magogo sio plastic
Yani hapo unaenda kujaza tumboni chembechembe za plastic... Kidogo kidogo
 
Mungu wangu
 
Yale magogo hatari kiafya damu ya miaka nenda rudi huozeana kwenye gogo hivyo huwemo wadudu usioona kwa macho.

Dawa wananchi tuanze kususa kununua nyama yenye gogo na tuwaambie kabisa wenye hizo bucha
Serikali izifunge tu hizo bucha zenye magogo
ukipika nyama wanakufa humo humo sasa unawaza nn boss
 
Kila kitu ukitaka kukikosoa kinakosolewa tu.
Vipi kuhusu mashine za kusaga mahindi, vile vyuma huisha mara kwa mara, n.k.
Ya ngoso mwachie - - -
Hiyo ya magogo sioni madhara, cha kuzingatia ni usafi.
 
Hizo machine zinaacha vipande vidogo vya chuma
 
Hii asome Mshana Jr tu, kwenye sherehe za Machifu jana kulikuwa na akinamama watatu hivi, mmoja akipeta nafaka kwenye ungo na wawili wakisaga nafaka kwenye mawe, mawe yale wanayosagia huisha, unga unaosagwa huwa na unga wa jiwe la kusagia hivyo taratibu familia inayotumia jiwe hilo hulimaliza kwa kulila bila kujua na maisha yanaendelea bila kudhurika! Ina maana unazaliwa mpaka unazeeka utakuwa umekula huenda robo ya jiwe lako la kusagia.
 
ukipika nyama wanakufa humo humo sasa unawaza nn boss
Sio kila mtu hupika kuna makabila hula nyama mbichi kabisa

Waetheopia waliopo nchini wengi hula nyama mbichi kabisa Nina Ushahidi
 
Sio kila mtu hupika kuna makabila hula nyama mbichi kabisa

Waetheopia waliopo nchini wengi hula nyama mbichi kabisa Nina Ushahidi
hao ni wachache ndg angu sasa tuumie weng kw sababu ya wachache halafu waethiopia sio watz kaka!..,,
 
Magogo yanayotumika kwenye mabucha mengi ni machafu
Ila hawawezi kuacha kwani hata kama unatumia msumeno bado unahitaji mbao
Hata Ulaya bado wanatumia sana mbao kwa kukata kuku na nyama kwa ujumla ingawa hawachalangi kama sisi kwa shoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…