Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Kwani waziri mkuu na yule mkuu wa mkoa nani ana cheo kikubwa.
Ila jamaa wanamuogopa sana. Hakuna mtu wa serikalini anayeweza kusema moja kwa moja kwamba anamlenga yeye!!
Aisee!!
Jamaa hawamuwezi!!Ili kuonyesha kwamba yy ana nguvu ya ziada soon atatoa apdates za mkoa wake kuhusu corona
Ila jamaa wanamuogopa sana. Hakuna mtu wa serikalini anayeweza kusema moja kwa moja kwamba anamlenga yeye!!
Aisee!!
Mkuu PM Majaliwa akijarubu tu kumtaja utasikia tuna PM mwinginewanaogopa kumtaja
Mbona tulishaona zamani tu? Bashite ni KAIMU WAZIRI MKUU MFAWIDHI MWANDAMIZI. Ni cheo kipya kabisa.
Mkuu wa mikoa yule alishawaambia wasijione wanavyeo kuzidi yeye anawazidi vingi sana. M aile kauli alilengwa PM na spika nakumbukaKwani waziri mkuu na yule mkuu wa mkoa nani ana cheo kikubwa.
LICHA YA KAULI YA WAZIRI MKUUMbona tulishaona zamani tu? Bashite ni KAIMU WAZIRI MKUU MFAWIDHI MWANDAMIZI. Ni cheo kipya kabisa.
Hahaha mimi siwezi kumlaumu Paulo ila namsifu sana kwa ujasiri wake anaweza kutetemesha mtu yeyote ambaye hajui cheo chake kina nguvu gani. Japo wote ni watoto wa baba mmoja.Mkuu wa mikoa yule alishawaambia wasijione wanavyeo kuzidi yeye anawazidi vingi sana. M aile kauli alilengwa PM na spika nakumbuka