Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,681
- 12,444
Boris Johnson umamaanisha ?Wangejifunza kwa yanayojiri ktk gonjwa hili la korona wangejijua kuwa wao mbali ya kujimwambafai ila ni wadogo kuliko pilton, naangalia apa CNN Gordon brown wa engalnd akipelekwa ICU nadhan kiherehere cha utu tubosi twa nchi ni mda tu Mungu akiamua kuwanyoosha watajua wao si lolote wala chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app