Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Amemshindwa Dr mpango tu yule haogopi kutumbuliwa.Hahaha mimi siwezi kumlaumu Paulo ila namsifu sana kwa ujasiri wake anaweza kutetemesha mtu yeyote ambaye hajui cheo chake kina nguvu gani. Japo wote ni watoto wa baba mmoja.