Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Hivi Makonda ana Mkoa wake hapa Tanzania? Lakini hizi lugha ni zilezile za Baba Jesca, like son like daddy:Halafu ule mkoa si wake wanamuingilia kwenye mkoa wake.
Akiwajibu hovyo wanaanza kulia.
Serikali ya Magufuli, Tanzania ya Magufuli, CCM ya Magufuli na kila kitu ni chake....Pambaf sana hii mitu ya kutoka pande za Ziwa Nyanza....!!