Serikali: Wakuu wa Mikoa na wilaya waache kutoa matamko kuhusu Corona

Hahaha mimi siwezi kumlaumu Paulo ila namsifu sana kwa ujasiri wake anaweza kutetemesha mtu yeyote ambaye hajui cheo chake kina nguvu gani. Japo wote ni watoto wa baba mmoja.
Amemshindwa Dr mpango tu yule haogopi kutumbuliwa.
 
Brown au Johnson aliyeko ICU?
 
Wamewahi kuingia naye kwenye battle?
Ushuru wa makontena fenicha za walimu bandarini.. mpango alikaza yalipwe kodi bashite akawa hataki akasema atamsemea kwa baba yake mpango akasema freshii.

Battle ilienda jiwe ikabidi asolve kwakumwambia bashite alipie. Kwakuwa makontena yenyewe yamejaa masofa
 
lengo letu ni MOJA tusije tukapotezana.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111]mbàvu zangu jamani
Mkuu ni zaidi ya vituko, hapa mtaani kuna kirikuu kina spika mbili na jenereta (kwa hisani ya ofisi ya DC) toka saa 5a.m kinazunguka wakipiga wimbo wa Rayvanny corona, corona ,corona...
Wakati TBC wanasifu na kuabudu badala ya kuelimisha jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimae tumefanywa jamhuri ya kambale ndani ya miaka minne tu
 
Kuna RC mmoja KICHWA maji toka pale Jiji la Dar-es-salaam sijui kama ataelewa somo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…