Serikali: Wakuu wa Mikoa na wilaya waache kutoa matamko kuhusu Corona

Boris Johnson umamaanisha ?
 
Hujui kuwa yale Makontena yalitoka Bure Bandarini kama alivyotaka Mwana Mfalme?

Paulo sio mtu wa mchezo, ropoka ropoka kuhusu Corona ingefanywa sijui na Mkuu wa Mkoa sa Tanga sio Katavi ungesikia washakula kichwa lakin huyu ni noumaaah,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna kitu hapa.... chini ya awamu hii PM & VP ni sawa na mbwa wasio na meno.

kesho tu hapo Bashite atatoa uharo wake kuhusu Corona na hakuna chochote (I mean chochote!!) Majaliwa atachomfanya.
 
Gordon Brown?
Acha chai zako. Au ulitaka kusema
 
Halafu ule mkoa si wake wanamuingilia kwenye mkoa wake.

Akiwajibu hovyo wanaanza kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…