Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Hivi Makonda ana Mkoa wake hapa Tanzania? Lakini hizi lugha ni zilezile za Baba Jesca, like son like daddy:Halafu ule mkoa si wake wanamuingilia kwenye mkoa wake.
Akiwajibu hovyo wanaanza kulia.
Haraka zake....Boris Johnson umamaanisha ?
Magufuli kaiharibu sana hii nchi na itifaki za mamlaka na uongozi.Ila jamaa wanamuogopa sana. Hakuna mtu wa serikalini anayeweza kusema moja kwa moja kwamba anamlenga yeye!!
Aisee!!
Magufuli kaiharibu sana hii nchi na itifaki za mamlaka na uongozi.
Daud Albert Bashite Div ...... kidato cha nne
Makonda Ni 2 IC kwa Jiwe.Bashite ni mkubwa kwa PM